BigTall
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 525
- 1,257
1. Epuka kuegemea ukuta au kupishanisha miguu
2. Epuka kukunja mikono yako kifuani; inaonyesha unajiamini kupita kiasi au dharau
3. Unapoulizwa maswali; daima angalia mbele, usiiname chini
4. Epuka kutafuna kitu chochote mdomoni au kung’ata kucha
5. Kama umekaa usiegemee sana kiti - inaonyesha ishara ya uvivu
6. Ikitokea umesimama, jitahidi unyooke
7. Usiwanyooshee vidole wanaokufanyia usaili
8. Usitikise kichwa kupita kiasi
9. Usiweke mikono yako nyuma wala mfukoni
10. Usionyeshe ishara yoyote mbaya unapomzungumzia mwajiri wako wa zamani