Kuna maneno mengine yana maana nzuri ktk lugha nyingine, lakini mtu mwingne akisikia neno hilo hupotosha kabisa na muda mwingne kuwa tusi; mfano, ---- radi(Japan), kwa kiswahili ni potofu, Kinu (kiswahili) kwa kimeru ni maana potofu, arrangeble(english) kwa kimasai inaleta maana potofu, Kanyoo(kimasai) kwa Kisukuma ni neno potofu, Kumalo(south Africa) kwa kiswahili ni neno potofu! Embu tutaje mengine yanayogongana!