Lugha zinavyogongana na kuleta maana potofu

Lugha zinavyogongana na kuleta maana potofu

Makaura

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
892
Reaction score
295
Kuna maneno mengine yana maana nzuri ktk lugha nyingine, lakini mtu mwingne akisikia neno hilo hupotosha kabisa na muda mwingne kuwa tusi; mfano, ---- radi(Japan), kwa kiswahili ni potofu, Kinu (kiswahili) kwa kimeru ni maana potofu, arrangeble(english) kwa kimasai inaleta maana potofu, Kanyoo(kimasai) kwa Kisukuma ni neno potofu, Kumalo(south Africa) kwa kiswahili ni neno potofu! Embu tutaje mengine yanayogongana!
 
Mkulu-Pumbu ID ya mwana JF mmoja hivi! Sijui kwa nini mods wamemwacha mpaka sasa hivi hawajamweka kibano?
 
Mushi ni jina la Mtu, lakini kwa kijerumani ni Uke.
Kino kwa kijerumani ni Sinema , lakini kiKikuyu ni Uke
 
hapa tunafunzana matusi ama??
sijalewa mantiki ya uzi.....
nisamehewe
 
Mboro uchagani (kibosho) ni ukoo lakini kwa jamii nyingine no potofu.
 
mavi kwa kituruki maana yake ni rangi ya blue kwa kiswahili kinyesi.

kaka kituruki na kifaransa maana yake ni mavi[ haja kubwa] kwa kiswahili ndugu mkubwa wa kiume katka familia...nikikumbuka mengine nitarudi :tonguez:

 
Ndedee nta yewe kuishi kimashami nisha
pfoo!! Amba nyi nndu wa ngata!! Yewe kwiishi
fibere na nduuya ro?!
 
Back
Top Bottom