Lugola: Tumegundua Lugumi hakuwa na kosa, ila Serikali ndio ilikuwa na matatizo

Lugola: Tumegundua Lugumi hakuwa na kosa, ila Serikali ndio ilikuwa na matatizo

britanicca

Platinum Member
Joined
May 20, 2015
Posts
18,261
Reaction score
48,864
Kayasema hayo kwenye video akihojiwa
Kuhusu Tuhuma Juu ya Lugumi, na kusema kwamba waligundua kwamba Lugumi hakuwa na kosa ila serikali ndo ilikuwa na Matatizo juu ya suala ilo,

Ni kuhusu kufunga alama za utambuzi wa vidole amesema kwamba Lugumi alijitetea na akaona kweli utetezi wake uko sahihi maana mambo mengi yanareportiwa visivyo na ukianza kuyafuatilia utakuta ulivyoambiwa sivyo

1. Alifunga vituo 32 badala ya 108 kwa sababu Serikali ilipaswa iandae pa kufunga hapakuandaliwa hivyo hakuwa na afunge wapi

2. Mkongo wa Taifa wa Internet nao ulikuwa kikwazo kwake,

Note that Ni sababu moja wapo iliyomuondosha Mwigulu uwaziri wake

MUNGU IBARIKI TANZANIA

Britannica
 
Hapa ndio uwa napata mashaka na MAGUFULI kupambana na ufisadi

Hana ubavu uo ni visa tu vya kisiasa hii maana yake ni kwamba MWIGULU Arudi ofisini au nini ?

Maana lilikuwa ni swala moja wapo sababu ya kumuondoa!!!!!!

Kweli ni ngumu kukata tawi ulilokalia, pesa za kampeni za kukuweka Ikulu za mafisadi

Safari ya KIKWETE jana Ikulu ilikuwa ya nini wakati Lugumi anahusishwa na mtoto wake?

Ufisadi ufisadi unaumiza sana watanzania walipa kodi,mpaka sasa Serikali ya MAGUFULI

Haijashinda kesi hata moja ya ufisadi mahakamaini kama ipo nikumbusheni

Uku MAGUFULI kakalia kutaifisha vijishamba vya wakina MBOWE

SHAME..
 
Kayasema hayo kwenye video akihojiwa
Kuhusu Tuhuma Juu ya Lugumi, na kusema kwamba waligundua kwamba Lugumi hakuwa na kosa ila serikali ndo ilikuwa na Matatizo juu ya suala ilo,

Ni kuhusu kufunga alama za utambuzi wa vidole amesema kwamba Lugumi alijitetea na akaona kweli utetezi wake uko sahihi maana mambo mengi yanareportiwa visivyo na ukianza kuyafuatilia utakuta ulivyoambiwa sivyo

1.alifunga vituo 32 badala ya 108 kwa sababu serikali ilipaswa iandae pa kufunga hapakuandaliwa hivyo hakuwa na afunge wapi

2. Mkongo wa Taifa wa internet nao ulikuwa kikwazo kwake,

MUNGU IBARIKI TANZANIA



Tatizo la Tanzania hatuna wanasheria mahiri.........siasa na sheria ni vitu viwili tofauti. Ndio maana Chenge huwa hakurupuki kwa sababu anaijua hii kanuni!
 
Back
Top Bottom