Lugola: Tumegundua Lugumi hakuwa na kosa, ila Serikali ndio ilikuwa na matatizo

Lugola: Tumegundua Lugumi hakuwa na kosa, ila Serikali ndio ilikuwa na matatizo

Kayasema hayo kwenye video akihojiwa
Kuhusu Tuhuma Juu ya Lugumi, na kusema kwamba waligundua kwamba Lugumi hakuwa na kosa ila serikali ndo ilikuwa na Matatizo juu ya suala ilo,

Ni kuhusu kufunga alama za utambuzi wa vidole amesema kwamba Lugumi alijitetea na akaona kweli utetezi wake uko sahihi maana mambo mengi yanareportiwa visivyo na ukianza kuyafuatilia utakuta ulivyoambiwa sivyo

1.alifunga vituo 32 badala ya 108 kwa sababu serikali ilipaswa iandae pa kufunga hapakuandaliwa hivyo hakuwa na afunge wapi

2. Mkongo wa Taifa wa internet nao ulikuwa kikwazo kwake,

MUNGU IBARIKI TANZANIA

1. Kama alifunga vituo 32 badala ya 108 ina maana angeonyesha kwamba vifaa vyote bado vipo kwa vituo 76 vilivyobakia.

2. Mkongo wa taifa wa Internet hauhusiani na kufunga mitambo kwani mitambo ingefungwa kwanza kwenye vituo vyote 108 halafu ndo kukadaiwa mkongo wa internet kuunganisha mitambo.

Suali ni kwamba mitambo yote ambayo ipo kwenye mkataba wa kuifunga, imefungwa yote katika vituo vyote 108 au la?

Kangi Lugola ni mpenzi wa muziki wa rumba lakini si hili la Lugumi, aache utani.
 
1. Kama alifunga vituo 32 badala ya 108 ina maana angeonyesha kwamba vifaa vyote bado vipo kwa vituo 76 vilivyobakia.

2. Mkongo wa taifa wa Internet hauhusiani na kufunga mitambo kwani mitambo ingefungwa kwanza kwenye vituo vyote 108 halafu ndo kukadaiwa mkongo wa interent kuunganisha mitambo.

Suali ni kwamba mitambo yote ambayo ipo kwenye mkataba wa kuifunga, imefungwa yote katika vituo vyote 108 au la?

Kangi Lugoa anafahamu kulicheza rumba lakini si hili la Lugumi, aache utani.
Ndo imeisha hivi
 
Kayasema hayo kwenye video akihojiwa
Kuhusu Tuhuma Juu ya Lugumi, na kusema kwamba waligundua kwamba Lugumi hakuwa na kosa ila serikali ndo ilikuwa na Matatizo juu ya suala ilo,

Ni kuhusu kufunga alama za utambuzi wa vidole amesema kwamba Lugumi alijitetea na akaona kweli utetezi wake uko sahihi maana mambo mengi yanareportiwa visivyo na ukianza kuyafuatilia utakuta ulivyoambiwa sivyo

1.alifunga vituo 32 badala ya 108 kwa sababu serikali ilipaswa iandae pa kufunga hapakuandaliwa hivyo hakuwa na afunge wapi

2. Mkongo wa Taifa wa internet nao ulikuwa kikwazo kwake,

Note that Ni sababu moja wapo iliyomuondosha Mwigulu uwaziri wake

MUNGU IBARIKI TANZANIA

Britannica

Kama ayasemayo ni ya kweli (and I doubt that) it means WALIKURUPUKA. Kwani nini wasijiridhishe kwanza kabla hawajatoa tamko??? Halafu kuna watu bado wanaamini kuwa hawa watu wanajua wanalolifanya?
GOD ALMIGHTY HAVE MERCY ON US
 
Kampuni ya Lugumi Enterprises ltd inamilikiwa na Said Lugumi
Said Lugumi ameoa mtoto wa Said Mwema
Said Mwema ameoa kwenye familia ya JK
Ridhiwani ni mtoto wa JK
 
Hapa ndio uwa napata mashaka na MAGUFULI kupambana na ufisadi

Hana ubavu uo visa tu vya kisiasa hii maana yake ni kwamba MWIGULU

Arudi ofisini au nini ? maana lilikuwa ni swala moja wapo sababu ya kumuondoa

Kweli ni ngumu kukata tawi ulilokalia, pesa za kampeni za kukuweka Ikulu za mafisadi

SafarI ya KIKWETE jana Ikulu ilikuwa ya nini wakati Lugumi anahusishwa na mtoto wake?

Ufisadi ufisadi unaumiza sana watanzania walipa kodi,mpaka sasa Serikali ya MAGUFULI

Haijashinda kesi hata moja ya ufisadi mahakamaini kama ipo nikumbusheni

Uku MAGUFULI kakalia kutaifisha vijishamba vya wakina MBOWE

SHAME..
Ha! Ha! Ha! mia 9 itapendeza .
 
Back
Top Bottom