Lugumi akabidhi jengo la ghorofa 7 kwa watoto

Lugumi akabidhi jengo la ghorofa 7 kwa watoto

WATOTO ZAIDI YA 800 WAJENGEWA GHOROFA SABA ZA KUISHI DSM

Watoto yatima zaidi ya 800 katika Mkoa wa Dar es Salaam wamejengewa ghorofa saba za kuishi ili kuhakikisha kundi hilo la watoto linaishi sehemu nzuri kwa ajili ya malezi yaliyo bora

Ghorofa hizo zimejengwa na Mfanyabishara nchini @lugumisaidi ambapo amekabidhi jengo moja la ghorofa nne eneo la Kinondoni Shamba Jijini Dar es Salaam huku majengo mengine yakitarajiwa kumalizika mwezi wa tatu mwakani.

Lugumi Amesema lengo ni kusaidia na kutatua changamoto kwa watoto wanaoishi katika mazingira magumu huku akijitolea kusomesha watoto zaidi ya 800 kuanzia ngazi ya elimu ya Msingi hadi Chuo Kikuu.

Akizungumza kwa niaba ya walezi wa watoto hao Bi Aisha amesema majengo hayo yatawasaidia katika kuokoa fedha za kodi ya pango ambazo zitatumika kwa ajili ya kutatua vitu vingine.

View attachment 3185659
Uzuri waislam wakiwa na pesa hawanaga roho mbaya kabisa..........palestina ingekua ipo Africa,au America kule raia wote wangekufa na njaa,.....ila kuzungukwa na majirani waislaumu raha sana
 
Sio wivu...huyu jamaa ametajirika kwa tenda za serikali...serikali inatoa wapi hela ? Ni kodi zetu zimechezewa...na ndio maana kwa akili za kimaskini kama zako utaona ni wivu..ila kwa serious people kama China huyu ungekuta alishanyongwa na kuzikwa kwenye kaburi ambalo halina jina...they are the reasons tunapata huduma mbaya, poor infrastructures na fake items just to make fcked up margins %
Eti akili za kimasikini 😂😂😂 niondolee kijiba chako cha roho mbaya hapa
 
Uzuri waislam wakiwa na pesa hawanaga roho mbaya kabisa..........palestina ingekua ipo Africa,au America kule raia wote wangekufa na njaa,.....ila kuzungukwa na majirani waislaumu raha sana
Sidhani kama uko sahihi sana.
 
Back
Top Bottom