Luhaga Mpina: ACT Wazalendo haiwezi kwenda kwenye maridhiano bila ukweli, haki na usawa

Luhaga Mpina: ACT Wazalendo haiwezi kwenda kwenye maridhiano bila ukweli, haki na usawa

Anazungumza kama ACT ama kama Mpina? Maana kama ni maridhiano tayari Znz ACT yuko kwenye ndoa ya maridhiano. Hebu arudi kwanza kwenye chama chake wakajiulize watoke na kauli ipi maana hii yake ni kama anajichoresha.
 
mpina kachuja agenda hadi aibu dah!
kiburi ni kitu useless sana kwenye siasa aise:pedroP:

Comment kama hii haichangazi kutoka kwa mtu mwendawazimu kama Tlaatlaah, ambaye ameifanya nafsi yake kuwa makao ya ibilisi shetani.
 
Mpina ahamie CHADEMA atafaa sana. Huko ACT wanamtumia tu.
Kuhamia Chadema ni kujitafutia matatizo tu. Siasa za Tanzania zinahitaji akili sio mihemko na jazba za chadema, ndio mnanaishia kutekwa magerezani na kupotezwa.
 
mpina kachuja agenda hadi aibu dah!
kiburi ni kitu useless sana kwenye siasa aise:pedroP:
Mwanangu amesoma na mwanae Mpina huko Shinyanga High School na kijana wake akiwa kiranja wa chakula hapo shuleni. Wakati wa Uchaguzi Mkuu mwaka jana Oktoba 2025, kijana wake alikuwa anawachekesha wenzake kuwa "Babaangu eti naye anagombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania"! Halafu anacheeeeeeka!!
 
for sure ni kichekesho,
we mnuka kikwapa yule na misuti yake ya rangirangi hata sijui anajikutaga nani aise dah :pedroP:

nadhani ndio maana hata mwanae anamcheka kwakweli,
huenda wakiwa wote nyumbani wananyang'anyana hadi kiporo cha ubwabwa na mwanae,
ndio maana mwanae anafikia hatua ya kumchea babake kuutaka urais 🐒
 
Back
Top Bottom