Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,572
- 15,610
Mwanae analalamika kuwa babaake amepoteza opportunity kubwa sana baada ya kutoka CCM. CCM inajua Kulwa. Na masuti yake ya "kolija" CCM ingemlea lakini ndio hivyo!for sure ni kichekesho,
we mnuka kikwapa yule na misuti yake ya rangirangi hata sijui anajikutaga nani aise dah
nadhani ndio maana hata mwanae anamcheka kwakweli,
huenda wakiwa wote nyumbani wananyang'anyana hadi kiporo cha ubwabwa na mwanae,
ndio maana mwanae anafikia hatua ya kumchea babake kuutaka urais 🐒
