Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
mpina kachuja agenda hadi aibu dah!Luhaga Mpina: ACT Wazalendo haiwezi kwenda kweye maridhiano bila ukweli, haki na usawa
Kule Zanzibar walifanyaje asiwe msanii kama ZtoNaibu Waziri Mkuu Kivuli Luhaga Mpina amesema kuwa ACT Wazalendo haiwezi kwenda kweye maridhiano bila ukweli, haki na usawa
View attachment 3701027
Huyu mwamba wenzie akina Zito wanamuuza
Huko alipo si mahalo pake
mpina kachuja agenda hadi aibu dah!
kiburi ni kitu useless sana kwenye siasa aise
Kha! Kila mtu yuko huru kuamua.Huyu mwamba wenzie akina Zito wanamuuza
Huko alipo si mahalo pake
Kuhamia Chadema ni kujitafutia matatizo tu. Siasa za Tanzania zinahitaji akili sio mihemko na jazba za chadema, ndio mnanaishia kutekwa magerezani na kupotezwa.Mpina ahamie CHADEMA atafaa sana. Huko ACT wanamtumia tu.
Kwanza amewauliza wenye akina Omo na jussa?Huyu mwamba wenzie akina Zito wanamuuza
Huko alipo si mahalo pake
Mwanangu amesoma na mwanae Mpina huko Shinyanga High School na kijana wake akiwa kiranja wa chakula hapo shuleni. Wakati wa Uchaguzi Mkuu mwaka jana Oktoba 2025, kijana wake alikuwa anawachekesha wenzake kuwa "Babaangu eti naye anagombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania"! Halafu anacheeeeeeka!!mpina kachuja agenda hadi aibu dah!
kiburi ni kitu useless sana kwenye siasa aise
for sure ni kichekesho,Mwanangu amesoma na mwanae Mpina huko Shinyanga High School na kijana wake akiwa kiranja wa chakula hapo shuleni. Wakati wa Uchaguzi Mkuu mwaka jana Oktoba 2025, kijana wake alikuwa anawachekesha wenzake kuwa "Babaangu eti naye anagombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania"! Halafu anacheeeeeeka!!