Luhaga Mpina aibua bungeni sakata la tembo kuvamia kuua wananchi, ataka wafugaji walioshinda kesi Mahakamani watendewe haki warudishiwe ng’ombe

SULEIMAN ABEID

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2013
Posts
390
Reaction score
385
MBUNGE wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema Jimbo la Kisesa Mkoa wa SIMIYU linachangamoto nyingi sana ikiwemo tatizo la uvamizi wa tembo ambao umekuwepo kwa muda mrefu bila kupata suluhisho la kudumu kutoka serikalini.

Amesema wananchi wanavamiwa na tembo mazao yao yanaliwa yakiwa shambani na hata yakiwa nyumbani chakula kinaliwa mashamba yote yanakanyagwa watu wamepoteza maisha wengine wamepata ukilema wa kudumu.

Mhe. Spika tumelalamika sana na tumeomba sana serikalini kulitatua hili tatizo lakini leo miaka mitatu sasa wananchi hao bado wanaendelea kwenye dhiki kubwa sana ya uvamizi wa tembo lakini uvamizi huu uko kwenye maeneo mengine pia.

Mhe. Waziri Mkuu kwa sababu ni muda mrefu sana na tumekuwa tukipeleka malalamiko haya serikalini na hayajatatuliwa mpaka sasa hivi ambapo imepeleka umasikini mkubwa kwa wananchi tunaomba tatizo hili lifike mwisho.

Mhe. Spika tunajua Serikali hii tuliyonayo ya awamu ya tano na hii ya sita imetatua mambo mengi yaliyokuwa yameshindikana lakini imeweza kuyatatua mambo makubwa imeweza kuyatatua haiwezi kushindwa kuwazuia tembo.

Mhe. Spika tumeweza kumaliza mambo ya rushwa na ufisadi, tumeweza kumaliza madawa ya kulevya tumeweza kumaliza ujambazi na ujangili, tumeweza kumaliza uvuvi haramu tuje tushindwe na tembo”?

Mhe. Spika hapa kuna mtu mmoja hajawajibika sawasawa tunataka safari hii wananchi waishi kwa amani katika maeneo yao na tatizo hili la Tembo Mhe. Waziri Mkuu agiza likomeshwe mara moja.

KUHUSU WAFUGAJI WALIOSHINDA KESI MAHAKAMANI NA WAFUGAJI KUTOTENDEWA HAKI
Mhe. Spika tunalo tatizo pia kubwa sana la wafugaji ambao walikuwa wanafuga wakakamatwa na wahifadhi kwamba wanachungia ndani ya hifadhi na baada ya hapo wakaenda kushinda kesi mahakamani wakakatiwa rufaa wakaenda kushinda kesi mahakamani zaidi ya wafugaji 30 wenye ng’ombe wasiopungua 5,000 ng’ombe wao mpaka sasa hivi wanashikiliwa na Serikali licha ya kushinda kesi mahakamani.

Na wamefuatilia serikalini kurudishiwa mifugo yao kwa sababu wameshapewa haki hiyo na Mahakama warudishiwe mifugo yao lakini mpaka sasa hivi tunavyozungumza Mhe Spika ng’ombe hao hawajarudishwa na sababu za kutorudishwa hazijulikani mtu ameshinda kesi mahakamani kwanini uendelee kuzuia mifugo yake?.

"Mhe. Spika kwa Jimbo la Kisesa peke yake ni zaidi ya ng’ombe 1,000 wanashikiliwa licha ya wananchi hao kushinda kesi mahakamani wananchi akina Malimi Sendama na wenzake, Ndaturu Malolo, Kwandu Malaba, Masunga Mhamali, Subi Maduhu na wengine Mhe. Waziri Mkuu tunataka kuambiwa huko Serikalini aliyekataa ng’ombe hizi zisitolewe ni nani kama mahakama imesha grant haki hao wafugaji aliyekataa huko serikalini ni nani?

Mhe. Spika namuomba sana Mh. Waziri Mkuu aliingilie kati hili suala tukatende haki kwa hao wananchi wanyonge ambao mifugo yao imeshikiliwa na Serikali licha ya wao kushinda kesi mahakamani na tukitoka kwenye hili bunge niende na hizo ngombe za wananchi hawa.

IMG-20210415-WA0068.jpg
 
Mtu umeshinda kesi,lakini kwanini hawataki kuwarudishia mifugo yao? Au kuna mchezo
Imefanyika

Ova
 
Mtu umeshinda kesi,lakini kwanini hawataki
Kuwarudishia mifugo yao?au kuna mchezo
Imefanyika

Ova
Kuna watu walishinda kesi ya mgombea binafsi na mahakama ikatoa hukumu lkn hadi leo hakuna kinachotekelezwa
 
MBUNGE wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema Jimbo la Kisesa Mkoa wa SIMIYU linachangamoto nyingi sana ikiwemo tatizo la uvamizi wa tembo ambao umekuwepo kwa muda mrefu bila kupata suluhisho la kudumu kutoka serikalini.

Amesema wananchi wanavamiwa na tembo mazao yao yanaliwa yakiwa shambani na hata yakiwa nyumbani chakula kinaliwa mashamba yote yanakanyagwa watu wamepoteza maisha wengine wamepata ukilema wa kudumu.

Mhe. Spika tumelalamika sana na tumeomba sana serikalini kulitatua hili tatizo lakini leo miaka mitatu sasa wananchi hao bado wanaendelea kwenye dhiki kubwa sana ya uvamizi wa tembo lakini uvamizi huu uko kwenye maeneo mengine pia.

Mhe. Waziri Mkuu kwa sababu ni muda mrefu sana na tumekuwa tukipeleka malalamiko haya serikalini na hayajatatuliwa mpaka sasa hivi ambapo imepeleka umasikini mkubwa kwa wananchi tunaomba tatizo hili lifike mwisho.

Mhe. Spika tunajua Serikali hii tuliyonayo ya awamu ya tano na hii ya sita imetatua mambo mengi yaliyokuwa yameshindikana lakini imeweza kuyatatua mambo makubwa imeweza kuyatatua haiwezi kushindwa kuwazuia tembo.

Mhe. Spika tumeweza kumaliza mambo ya rushwa na ufisadi, tumeweza kumaliza madawa ya kulevya tumeweza kumaliza ujambazi na ujangili, tumeweza kumaliza uvuvi haramu tuje tushindwe na tembo”?

Mhe. Spika hapa kuna mtu mmoja hajawajibika sawasawa tunataka safari hii wananchi waishi kwa amani katika maeneo yao na tatizo hili la Tembo Mhe. Waziri Mkuu agiza likomeshwe mara moja.

KUHUSU WAFUGAJI WALIOSHINDA KESI MAHAKAMANI NA WAFUGAJI KUTOTENDEWA HAKI
Mhe. Spika tunalo tatizo pia kubwa sana la wafugaji ambao walikuwa wanafuga wakakamatwa na wahifadhi kwamba wanachungia ndani ya hifadhi na baada ya hapo wakaenda kushinda kesi mahakamani wakakatiwa rufaa wakaenda kushinda kesi mahakamani zaidi ya wafugaji 30 wenye ng’ombe wasiopungua 5,000 ng’ombe wao mpaka sasa hivi wanashikiliwa na Serikali licha ya kushinda kesi mahakamani.

Na wamefuatilia serikalini kurudishiwa mifugo yao kwa sababu wameshapewa haki hiyo na Mahakama warudishiwe mifugo yao lakini mpaka sasa hivi tunavyozungumza Mhe Spika ng’ombe hao hawajarudishwa na sababu za kutorudishwa hazijulikani mtu ameshinda kesi mahakamani kwanini uendelee kuzuia mifugo yake?.

"Mhe. Spika kwa Jimbo la Kisesa peke yake ni zaidi ya ng’ombe 1,000 wanashikiliwa licha ya wananchi hao kushinda kesi mahakamani wananchi akina Malimi Sendama na wenzake, Ndaturu Malolo, Kwandu Malaba, Masunga Mhamali, Subi Maduhu na wengine Mhe. Waziri Mkuu tunataka kuambiwa huko Serikalini aliyekataa ng’ombe hizi zisitolewe ni nani kama mahakama imesha grant haki hao wafugaji aliyekataa huko serikalini ni nani?

Mhe. Spika namuomba sana Mh. Waziri Mkuu aliingilie kati hili suala tukatende haki kwa hao wananchi wanyonge ambao mifugo yao imeshikiliwa na Serikali licha ya wao kushinda kesi mahakamani na tukitoka kwenye hili bunge niende na hizo ngombe za wananchi hawa.

Duuhh zilishakuwa kitoweo kitambo sana na ngozi ishakuwa viatu na mikoba zamani sana.
Ukisikia utawala usio heshimu sheria ndiyo huo kibaya ni kwamba wewe Hon Mpina ulikuwa sehemu yake kwa muda mrefu tuuuu.
 
Hayo unayosema ni majungu hayana ushahidi na kama alikuwa na Matumizi mabaya kwenye Wizara Ripoti CAG ingeonesha unachokisema na tulishuhudia akipambana na Uvuvi haramu hadi akautokomeza nchini Pia ameongeza Mapato ya Serikali soma taarifa wakati anakabidhi Ofisi kwa Waziri mpya iliwekwa pia humu JF. Wewe kama una chuki zako binafsi baki nazo na usidhani unaweza kumchafua Mh. Mpina kwa maneno madogo madogo
 
Mhe. Spika tunalo tatizo pia kubwa sana la wafugaji ambao walikuwa wanafuga wakakamatwa na wahifadhi kwamba wanachungia ndani ya hifadhi na baada ya hapo wakaenda kushinda kesi mahakamani wakakatiwa rufaa wakaenda kushinda kesi mahakamani zaidi ya wafugaji 30 wenye ng’ombe wasiopungua 5,000 ng’ombe wao mpaka sasa hivi wanashikiliwa na Serikali licha ya kushinda kesi mahakamani.
Huyu naye aache 'kiki" za kipumbavu, hao ng'ombe wakati wanakatwa yeye alikuwa waziri wa mifugo na uvuvi na hakufanya juhudi zozote kuongea na waziri mwenzake sasa hivi analialia nini? Kwanza 2020 hakushinda ubunge wa Kisesa huyu!
 
Huyu jamaa wakati akiwa Waziri alifanya vitimbwi sana
1. Kupima Samaki ( Kitoweo) kwa Rula
2. Wavuvi Waliisoma namba kwa kuchomewa Nyavu zao
 
MBUNGE wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema Jimbo la Kisesa Mkoa wa SIMIYU linachangamoto nyingi sana ikiwemo tatizo la uvamizi wa tembo ambao umekuwepo kwa muda mrefu bila kupata suluhisho la kudumu kutoka serikalini.

Amesema wananchi wanavamiwa na tembo mazao yao yanaliwa yakiwa shambani na hata yakiwa nyumbani chakula kinaliwa mashamba yote yanakanyagwa watu wamepoteza maisha wengine wamepata ukilema wa kudumu.

Mhe. Spika tumelalamika sana na tumeomba sana serikalini kulitatua hili tatizo lakini leo miaka mitatu sasa wananchi hao bado wanaendelea kwenye dhiki kubwa sana ya uvamizi wa tembo lakini uvamizi huu uko kwenye maeneo mengine pia.

Mhe. Waziri Mkuu kwa sababu ni muda mrefu sana na tumekuwa tukipeleka malalamiko haya serikalini na hayajatatuliwa mpaka sasa hivi ambapo imepeleka umasikini mkubwa kwa wananchi tunaomba tatizo hili lifike mwisho.

Mhe. Spika tunajua Serikali hii tuliyonayo ya awamu ya tano na hii ya sita imetatua mambo mengi yaliyokuwa yameshindikana lakini imeweza kuyatatua mambo makubwa imeweza kuyatatua haiwezi kushindwa kuwazuia tembo.

Mhe. Spika tumeweza kumaliza mambo ya rushwa na ufisadi, tumeweza kumaliza madawa ya kulevya tumeweza kumaliza ujambazi na ujangili, tumeweza kumaliza uvuvi haramu tuje tushindwe na tembo”?

Mhe. Spika hapa kuna mtu mmoja hajawajibika sawasawa tunataka safari hii wananchi waishi kwa amani katika maeneo yao na tatizo hili la Tembo Mhe. Waziri Mkuu agiza likomeshwe mara moja.

KUHUSU WAFUGAJI WALIOSHINDA KESI MAHAKAMANI NA WAFUGAJI KUTOTENDEWA HAKI
Mhe. Spika tunalo tatizo pia kubwa sana la wafugaji ambao walikuwa wanafuga wakakamatwa na wahifadhi kwamba wanachungia ndani ya hifadhi na baada ya hapo wakaenda kushinda kesi mahakamani wakakatiwa rufaa wakaenda kushinda kesi mahakamani zaidi ya wafugaji 30 wenye ng’ombe wasiopungua 5,000 ng’ombe wao mpaka sasa hivi wanashikiliwa na Serikali licha ya kushinda kesi mahakamani.

Na wamefuatilia serikalini kurudishiwa mifugo yao kwa sababu wameshapewa haki hiyo na Mahakama warudishiwe mifugo yao lakini mpaka sasa hivi tunavyozungumza Mhe Spika ng’ombe hao hawajarudishwa na sababu za kutorudishwa hazijulikani mtu ameshinda kesi mahakamani kwanini uendelee kuzuia mifugo yake?.

"Mhe. Spika kwa Jimbo la Kisesa peke yake ni zaidi ya ng’ombe 1,000 wanashikiliwa licha ya wananchi hao kushinda kesi mahakamani wananchi akina Malimi Sendama na wenzake, Ndaturu Malolo, Kwandu Malaba, Masunga Mhamali, Subi Maduhu na wengine Mhe. Waziri Mkuu tunataka kuambiwa huko Serikalini aliyekataa ng’ombe hizi zisitolewe ni nani kama mahakama imesha grant haki hao wafugaji aliyekataa huko serikalini ni nani?

Mhe. Spika namuomba sana Mh. Waziri Mkuu aliingilie kati hili suala tukatende haki kwa hao wananchi wanyonge ambao mifugo yao imeshikiliwa na Serikali licha ya wao kushinda kesi mahakamani na tukitoka kwenye hili bunge niende na hizo ngombe za wananchi hawa.

Inaonekana wewe ni wale wanaotumiwa vibaya na hawa wazandiki, huyo waziri anaongea nini na wakati yeye ndie aliyekuwa waziri wa wizara hiyo na aliagiza mifugo hiyo ikamatwe ?, kweli hapa bongo kuna shida sana, yaani wasanii wa kisiasa wanatengeneza tatizo halafu wanakuja hapa mbele yetu kutafuta ufumbuzi wa tatizo hilohilo walilolifanya
 
Hayo unayosema ni majungu hayana ushahidi na kama alikuwa na Matumizi mabaya kwenye Wizara Ripoti CAG ingeonesha unachokisema na tulishuhudia akipambana na Uvuvi haramu hadi akautokomeza nchini Pia ameongeza Mapato ya Serikali soma taarifa wakati anakabidhi Ofisi kwa Waziri mpya iliwekwa pia humu JF. Wewe kama una chuki zako binafsi baki nazo na usidhani unaweza kumchafua Mh. Mpina kwa maneno madogo madogo
Shida inakuja pale unapojibu bila kusoma ukaamua kubaki na hisia tuu.
I ssue hapa ni kwamba kwa nini hakukabidhi hao ng`ombe au kwa nini alikubali wazuiliwe bila kufuata sheria???????
Leo yuko bungeni analalamikia jambo ambalo alikuwa na dhamanana ya kulisimamia!!! why???????

Wizara au mamlaka husika kutotekeleza uamuzi wa mahakama ni utawala wa sheria au hapana????????????????????????????.

Anyway karibu Lunch mkuu.
 
Back
Top Bottom