Sukuma gang mtampoteza huyo Mpina kama Jobo, nauliza majibu rasmi ya serikali ndio hayo anayotoa Makamba, kama Mpina ana jambo lake alete vinginevyo kutumika kutamponza..Kauli ya waziri sio kauli ya Rais acha uongo, mfano waziri Mkenda alipotoa kauli kuhusu kuagiza sukari ya nche ilikuwa ni kauli ya Rais? Kama ilikuwa kauli ya Rais mbona Rais mwenyewe aliipuuzilia mbali na kumsema waziri wake hadharani!
😄😄😄 Haya nenda kanyonywe puru Kama ilivyo kawaida yako mtoto mzuri 😄😄😄Unachekacheka kishoga huku hewa inatokea makalioni mbwa wewe. Unajichekesha utakula mdudu mbwa wewe kamuandalie shemeji yako maji ya kuoga akupasue unajichekesha huku utaambulia shahawa upate mimba usijue baba ni nani Kama mamako alivyokuzaa unaishia kumtukana sababu huna baba. Laanakum
KabisaWasukuma ni wabinafsi na wakabila sana. Hii miaka sita miradi na pesa yote ilipelekwa Kanda ya ziwa. Pumbafu sana, wanahangaika Bure.
Eee Mungu tunusuru na hili jangaLaana ya kushangilia kifo cha Magufuli haitawaacha salama, walidhani kuongoza ni jambo rahisirahisi kama kujibatiza jina la kigogo2014 huko twita.
Ikumbukwe ni Makamba huyu huyu ndiye alisababisha uhaba wa sukari kipindi kilichopitaHaisaidii, bosi wake kampa sababu , 'Vita vya Urusi na Ukraine'
Walio saini mikataba ya gas bado wako kwenye system wanakula Bata, TZ bado tuna safari ndefu.Kumbukeni awamu ya 4 mpango kazi wao ulikuwa ni 'gas' ndio maana ule mchezo mchafu ukachezwa tena bungeni!
Kumbukeni walioleta wale wazungu wapo na wapo ktk level kubwa ya system iliyopo madarakani.
Kumbukeni ni wakubwa sana na tayari wameanza na ununuzi wa makampuni makubwa ya.........................
Makamba hana kisima cha mafutaKatema nondo gani?
Hivi nyie watu huo ujinga mnautoa wapi? Hata habari za kimataifa hamfuatilii? Wapi duniani mafuta hayajapanda bei?
Kwa hiyo Simba wa Yuda (Yesu) ana mashetani? Naona mmeamua kututusi Wakristo kila kona!Tulieni nyie mashetani wa Simba wa yuda. Huyo Mpina ameua watu Rubondo mshenzi sana.
Watu kwa kufukunyua daaaahHuyu ni Nape
Uwe na adabu kidogo,jaribu kutafakari na kutathimini maneno yatokayo kinywani mwako,usiwe mwepesi kujibu au kuongelea jambo ambalo hulifahamu,kuwa makini sana.Wana chuki na Makamba wa watu kisa mjinga mwenzao kawaaminisha anahusika na kifo cha mungu wao!
Wamejaa ujinga tu ndo mana wanaua vikongwe kwao kwa kuwahisi tu kuwa ni wachawi
Hakika unajua kuwa Lissu hakusaini yeye hiyo mikataba.Inasikitisha mno alafu Lisu anashangilia
Bora Zumaridi kuliko Chifu HangayaSukuma gang smart? Smart kwa nini? Kumshabikia Zumaridi?
Umemuongelea Mpina kwa personality, changia hoja kwa content, je alichokiongea ni sahihi au si sahihi?Mpina alikuwa anachukua ng'ombe za wafugaji na kuzipeleka kwenye mazizi yake ? Huyu aliyefilisi wavuvi kwa sababu za kijingajinga kabisa?
Anamuota rafiki yake Kalemani, hatarudi pale nishati.
Huyu Mpina kama anauota uwaziri, asubiri usiku, ni kiongozi wa hovyo sana.
Luhaga Mpina anampinga sana mama Samia, asidhani 2025 ni mbali
Kwenye kuiongoza Wizara ya Nishati, kakalia wizi tuAmefeli kwenye nini?
Hana uwezo na wizara hiyoAmefeli kwenye nini?
Yes, kumbe bado tuna watu objective humu.Msukuma ni Raia mwenye haki sawa na Mkwere au Mchagga…anapohoji ajibiwe sio kukimbilia kwny kichaka cha Ukabila kukwepa hoja....
Luhaga Mpina Mbunge wa Kisesa amesema Rais Samia alitaka mawaziri wamsaidie katika kujibu hoja za wananchi, hata hivyo jambo hilo halionekani sana kwa sasa, ambapo amesema mawaziri wapo kimya katika kujibu hoja za wananchi...
Kwa zile Sifa za Kukufuru, Kinafiki na za Kujipendekeza alizozitoa Baba yake kwa Rais Samia ( Mwenyekiti CCM Taifa ) hivi karibuni pale Dodoma sahauni kuona au kusikia kuwa 'ametumbuliwa' katika hiyo 'Vital Docket' aliyoko.Luhaga Mpina Mbunge wa Kisesa amesema Rais Samia alitaka mawaziri wamsaidie katika kujibu hoja za wananchi, hata hivyo jambo hilo halionekani sana kwa sasa, ambapo amesema mawaziri wapo kimya katika kujibu hoja za wananchi.
Mpina amesema wapo mawaziri hawajibu hoja za wananchi au huwa wanajibu kwa hoja nyepesi malalamiko ya raia, hali ambayo ameitaja kuwa sio kumsaidia Rais kama inavyotarajiwa.
Ametoa mfano wa waziri wa Nishati alivyojibu kuhusu ucheleweshwaji wa mradi wa bwawa la Mwl Nyerere ambapo Waziri wa Nishati alianza kulaumu kuwa Wabunge hawakutaka yeye awe waziri badala ya kujibu hoja iliyokuwa mezani.
Waziri ametolea mfano suala la kufuta tozo ya Tsh. 100 katika mafuta bila kufuata utaratibu. Ambapo amesema maamuzi ya waziri kufuta tozo hiyo amekutaja ni sawa na uhujumu wa mapato ya Serikali kwa kuwa fedha ya tozo hiyo ilikuwa katika bajeti ya Serikali ya mwaka 2021/22.
Kwa kushindwa kufuata taratibu za kuondoa tozo, Luhaga Mpina amesema Waziri wa Nishati amekuwa amefanya kosa la Uhujumu Uchumi. Na ameshindwa kutafuta kukielewa chanzo cha upandaji wa bei za mafuta nchini.
Kufuta tozo ya Tsh. 100 bila kufanya tathmini kumeipotezea Serikali Tsh. Bilioni 30. Hivyo, hakuwa na nia njema, achukuliwe hatua, atoa wito kwa TAKUKURU kumchukulia hatua. Amesema suala la kumchukulia hatua sio jambo la hiari, ni kwa mujibu wa sheria.
Mambo mengine aliyoyataja katika taarifa yake aliyoitoa kwa vyombo vya habari ametaja kuwa Waziri Makamba ameshindwa kujibu kuhusu bei za mafuta na mfumuko wa bei.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Mpina si wa kulalamika leo.
Alikuwa kichaa.
Kupima samaki kwa ruler kwa mikono michafu, mtu aliyetoka kuchambia, halafu bengeni!