Luhaga Mpina amlipua Waziri Makamba, amtuhumu kwa Uhujumu Uchumi. Atoa wito kwa TAKUKURU kumchukulia hatua

Luhaga Mpina amlipua Waziri Makamba, amtuhumu kwa Uhujumu Uchumi. Atoa wito kwa TAKUKURU kumchukulia hatua

Naona kutumbuliwa kwa Kalemani na Kuteuliwa kwa January bado kunawauma - Haya yamalizeni wenyewe sisi hayatuhusu - Mbuzi wa bwana Heri.........
 
Kauli ya waziri sio kauli ya Rais acha uongo, mfano waziri Mkenda alipotoa kauli kuhusu kuagiza sukari ya nche ilikuwa ni kauli ya Rais? Kama ilikuwa kauli ya Rais mbona Rais mwenyewe aliipuuzilia mbali na kumsema waziri wake hadharani!
Sukuma gang mtampoteza huyo Mpina kama Jobo, nauliza majibu rasmi ya serikali ndio hayo anayotoa Makamba, kama Mpina ana jambo lake alete vinginevyo kutumika kutamponza..
 
Unachekacheka kishoga huku hewa inatokea makalioni mbwa wewe. Unajichekesha utakula mdudu mbwa wewe kamuandalie shemeji yako maji ya kuoga akupasue unajichekesha huku utaambulia shahawa upate mimba usijue baba ni nani Kama mamako alivyokuzaa unaishia kumtukana sababu huna baba. Laanakum
😄😄😄 Haya nenda kanyonywe puru Kama ilivyo kawaida yako mtoto mzuri 😄😄😄
 
Kumbukeni awamu ya 4 mpango kazi wao ulikuwa ni 'gas' ndio maana ule mchezo mchafu ukachezwa tena bungeni!
Kumbukeni walioleta wale wazungu wapo na wapo ktk level kubwa ya system iliyopo madarakani.
Kumbukeni ni wakubwa sana na tayari wameanza na ununuzi wa makampuni makubwa ya.........................
Walio saini mikataba ya gas bado wako kwenye system wanakula Bata, TZ bado tuna safari ndefu.
 
Tulieni nyie mashetani wa Simba wa yuda. Huyo Mpina ameua watu Rubondo mshenzi sana.
Kwa hiyo Simba wa Yuda (Yesu) ana mashetani? Naona mmeamua kututusi Wakristo kila kona!
Sawa, Mungu wetu hujipigania mwenyewe.

Akianza msianze kulalama kama vichaa!
 
Wana chuki na Makamba wa watu kisa mjinga mwenzao kawaaminisha anahusika na kifo cha mungu wao!

Wamejaa ujinga tu ndo mana wanaua vikongwe kwao kwa kuwahisi tu kuwa ni wachawi
Uwe na adabu kidogo,jaribu kutafakari na kutathimini maneno yatokayo kinywani mwako,usiwe mwepesi kujibu au kuongelea jambo ambalo hulifahamu,kuwa makini sana.
 
Mpina alikuwa anachukua ng'ombe za wafugaji na kuzipeleka kwenye mazizi yake ? Huyu aliyefilisi wavuvi kwa sababu za kijingajinga kabisa?

Anamuota rafiki yake Kalemani, hatarudi pale nishati.

Huyu Mpina kama anauota uwaziri, asubiri usiku, ni kiongozi wa hovyo sana.

Luhaga Mpina anampinga sana mama Samia, asidhani 2025 ni mbali
Umemuongelea Mpina kwa personality, changia hoja kwa content, je alichokiongea ni sahihi au si sahihi?
 
Jamani si tumekubaliana kuwa tunaboresha kwanda muundo wa maenejimenti ya Tanesco alafu baadaye na MSD kuleta ufanisi kama wa Tanesco.Tusimchanganye Waziri jamani eeh!Shilingi mia kitu gani kwa lita 🤣🤣.Dah,nji ngumu hii!
Luhaga Mpina Mbunge wa Kisesa amesema Rais Samia alitaka mawaziri wamsaidie katika kujibu hoja za wananchi, hata hivyo jambo hilo halionekani sana kwa sasa, ambapo amesema mawaziri wapo kimya katika kujibu hoja za wananchi...
 
Luhaga Mpina Mbunge wa Kisesa amesema Rais Samia alitaka mawaziri wamsaidie katika kujibu hoja za wananchi, hata hivyo jambo hilo halionekani sana kwa sasa, ambapo amesema mawaziri wapo kimya katika kujibu hoja za wananchi.

Mpina amesema wapo mawaziri hawajibu hoja za wananchi au huwa wanajibu kwa hoja nyepesi malalamiko ya raia, hali ambayo ameitaja kuwa sio kumsaidia Rais kama inavyotarajiwa.

Ametoa mfano wa waziri wa Nishati alivyojibu kuhusu ucheleweshwaji wa mradi wa bwawa la Mwl Nyerere ambapo Waziri wa Nishati alianza kulaumu kuwa Wabunge hawakutaka yeye awe waziri badala ya kujibu hoja iliyokuwa mezani.

Waziri ametolea mfano suala la kufuta tozo ya Tsh. 100 katika mafuta bila kufuata utaratibu. Ambapo amesema maamuzi ya waziri kufuta tozo hiyo amekutaja ni sawa na uhujumu wa mapato ya Serikali kwa kuwa fedha ya tozo hiyo ilikuwa katika bajeti ya Serikali ya mwaka 2021/22.

Kwa kushindwa kufuata taratibu za kuondoa tozo, Luhaga Mpina amesema Waziri wa Nishati amekuwa amefanya kosa la Uhujumu Uchumi. Na ameshindwa kutafuta kukielewa chanzo cha upandaji wa bei za mafuta nchini.

Kufuta tozo ya Tsh. 100 bila kufanya tathmini kumeipotezea Serikali Tsh. Bilioni 30. Hivyo, hakuwa na nia njema, achukuliwe hatua, atoa wito kwa TAKUKURU kumchukulia hatua. Amesema suala la kumchukulia hatua sio jambo la hiari, ni kwa mujibu wa sheria.

Mambo mengine aliyoyataja katika taarifa yake aliyoitoa kwa vyombo vya habari ametaja kuwa Waziri Makamba ameshindwa kujibu kuhusu bei za mafuta na mfumuko wa bei.
Kwa zile Sifa za Kukufuru, Kinafiki na za Kujipendekeza alizozitoa Baba yake kwa Rais Samia ( Mwenyekiti CCM Taifa ) hivi karibuni pale Dodoma sahauni kuona au kusikia kuwa 'ametumbuliwa' katika hiyo 'Vital Docket' aliyoko.
 
Back
Top Bottom