Luhaga Mpina amlipua Waziri Makamba, amtuhumu kwa Uhujumu Uchumi. Atoa wito kwa TAKUKURU kumchukulia hatua

kumbe akiwa nje ya mfumo akili zinakaa sawa
 
Huyo Mpina si alikuwa waziri wakati wa JPM? Mbona Bajeti ya kununulia ndege, SGR, kuhamia dodoma, bwawa la nyerere haikupitishwa na bunge kabla ya utekelezaji? Hii ya Makamba kupunguza makali ya bei ya mafuta kwa wananchi ndiyo uhujumu uchumi? Mbona hakupiga kelele wakati wa JPM juu ya matumizi ya serekali bila idhini ya bunge?
 
😂😂😂😂😂😂😂 halafu atakuja bwege mmoja wakuitwa The Sunk Cost Fallacy kifua mbele kupinga hoja za mtoa mada na kumtetea kibaraka wake marope
 

Mafuta USA kipimo chao ni gallone ambayo ni sawa na Lita 4 na ushee kwa Tanzania. Hivyo hiyo bei ni ya Lita 4 na ushee so igawe kwa 4 na utagundua Lita1 ni chini ya dollari1.

Hii ya Mh Mpina kutoka kwa jinsi hii ni afya kwa Tanzania kwa vile hatuna upinzani wenye hoja zinazo eleweka kwa sasa hapa nchini. Natamani waongezeke wengi ndani ya CCM wa aina ya Mh Mhanga Mpina.
 
Sukuma gang mtampoteza huyo Mpina kama Jobo,,nauliza majibu rasmi ya serikali ndio hayo anayotoa Makamba,,kama Mpina ana jambo lake alete vinginevyo kutumika kutamponza..
Mbona unarukaruka kama bisi kikaangoni! Mara sukuma gang, mara mpina mtampoteza! Sasa inahusiana nini na uongo wako kuwa kauli ya waziri ni kauli ya Rais?!! Eti majibu rasmi ya serikali ndo hayo ya makamba!, Wakati makamba katangaza kuitoa sh. 100 tarehe 28 siku mbili baadae Rais akampinga hadharani na kuirudisha hiyo sh.100. nani hapo mwenye majibu rasmi ya serikali?! Afu unadanganya hapa kauli ya waziri ni kauli ya Rais!!
 
Huku ni kutishia watu wazima pusi, kumbukeni tume ni ya Mahera
Wasukuma ndio wengi nchi hii na ndio wapiga kura wengi au nasema uongo ndg zanguuuuuuuuuuuuu?[emoji16][emoji16][emoji16]
 
IT masaki 2015 kwa ajili ya jiwe lenu
 
Hoja za Mpina zina mantiki
Ila wajinga kama nyinyi ndio mnataka kutibua mjadala..
KIla kitu lazima ukihusishe na marehemu Magufuli!
Kaka tuna kizazi cha ovyo sana, yani hata katika mambo ya msingi wanamuwaza uyo marehemu tu badala ya kutazama hali na uhalisia wa sasa
 
Sukuma gang mtampoteza huyo Mpina kama Jobo,,nauliza majibu rasmi ya serikali ndio hayo anayotoa Makamba,,kama Mpina ana jambo lake alete vinginevyo kutumika kutamponza..

Unamtisha nani wee mbulula

Alichokosea nini hapo km sio kutetea wananchi na nchi yetu kwa ujumla
 
kuna watu wanaishi maisha mazuri kwa kuwaibia maskini
 
Laana ya kushangilia kifo cha Magufuli haitawaacha salama, walidhani kuongoza ni jambo rahisirahisi kama kujibatiza jina la kigogo2014 huko twita.

Naona akina nanilihii wameikamata nchi. Kumponda rais na serikali sasa kwisha.
 
Hoja za Mpina ni za msingi sana mpunguze ushabiki huku na uchawa wenu.

Makamba ni muhujumu uchumi, uamuzi wake wa kufuata tozo shilingi 100 umeisababishia serikali hasara ya bil 30 kulingana na Mpina, nyie chawa mkiongozwa na Lord denning jibuni hoja hii.
 
Huyu naye; huwezi kila siku ukiamka unamwattack mtu mmoja tu, na haiwezekani hoja zake kila siku zilenge sekta moja tu - hiyo inamaanisha ana chuki tu binafsi na Mhe Makamba na hoja zake zinafia hapa
 
Tatizo ni msukuma, hoja zake zitahusishwa na chuki za kisiasa na masuala ya ukabila, japo Katema nondo haswa.
Kama huku ndo kutema nondo basi nchi hii tumekwisha, isitokee tena Mhutu akatawala hii nchi😁
 
Makamba kosa lake ni kuwa na ukaribu na JK na kuwa mentored na JK kuanzia ile kazi ya Ikulu pale mpaka leo Waziri.... Uwezo wa Makamba kichwani na exposure huwezi kumfananisha na hawa akina Luaga sijui Kalemani sijui Makonda....Dogo ana utulivu na uvumilivu... hawa wengine walionjeshwa mkate basi imekuwa nongwa sasa na wanaamini ile ilikuwa haki yao na wanapaswa kuwepo.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…