johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
PichaMbunge wa Kisesa Komredi Mpina amerejea jimboni Kwake na kupokewa na maelfu ya Wananchi bila kujali Itikadi za kisiasa
Katika Mapokezi hayo wameonekana pia Wafuasi wa Chadema, ACT Wazalendo, NCCR mageuzi na CUF Lakini umati mkubwa ulikuwa ni Wanaccm waliovalia sare zao
Ahsanteni Sana 😂
Oops
Ukitetea rasilimali za nchi hata uwe shetani utapokelewa bila shidaMbunge wa Kisesa Komredi Mpina amerejea jimboni Kwake na kupokewa na maelfu ya Wananchi bila kujali Itikadi za kisiasa
Katika Mapokezi hayo wameonekana pia Wafuasi wa Chadema, ACT Wazalendo, NCCR mageuzi na CUF Lakini umati mkubwa ulikuwa ni Wanaccm waliovalia sare zao
Ahsanteni Sana 😂
Credit: Mfanyakazi Online
Dera la yule mlinzi wa Rais Msikitini.Bila picha huu uzi ni sawa na dela la Hassan Nasrallah
Ni kama state imemwandaa kushika hapo mbeleni au sio!!?Haya ndiyo mapokezi ya jemedari ngosha luhaga kutoka simiyu. Ama kweli wapiga kura wake wanaelewa anachokifanya.
View attachment 3059788