Luhaga Mpina apokelewa na maelfu ya Wananchi jimboni kwake Kisesa, CHADEMA na ACT Wazalendo washiriki Mapokezi Wakiongozwa na CCM

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716

Mbunge wa Kisesa Komredi Mpina amerejea jimboni Kwake na kupokewa na maelfu ya Wananchi bila kujali Itikadi za kisiasa

Katika Mapokezi hayo wameonekana pia Wafuasi wa Chadema, ACT Wazalendo, NCCR mageuzi na CUF Lakini umati mkubwa ulikuwa ni Wanaccm waliovalia sare zao

Ahsanteni Sana 😂

Credit: Mfanyakazi Online
 
Picha
 
Mkuu weka picha kabla hawajaja kukuita Mbeya😂
 
Mbunge wa Kisesa Komredi Mpina amerejea jimboni Kwake na kupokewa na maelfu ya Wananchi bila kujali Itikadi za kisiasa

Katika Mapokezi hayo wameonekana pia Wafuasi wa Chadema, ACT Wazalendo, NCCR mageuzi na CUF Lakini umati mkubwa ulikuwa ni Wanaccm waliovalia sare zao

Ahsanteni Sana 😂

Credit: Mfanyakazi Online
Ukitetea rasilimali za nchi hata uwe shetani utapokelewa bila shida
 
Anhaa kumbe huyu.

Hawa jamaa pesa huwa inawatoka sana kipindi cha uchaguzi.
Kama una bar karibu na eneo jamaa wanakofanya mkutamo wa kumchagua yeyote ua mikutano yao kipindi cha uchaguzi huu, aloo utapiga pesa hadi ushangae.
 
Back
Top Bottom