Luhaga mpina - CCM sio kichaka wala pango la wanyang’anyi, Bora nifukuzwe Uanachama kuliko kukaa kimya!

Luhaga mpina - CCM sio kichaka wala pango la wanyang’anyi, Bora nifukuzwe Uanachama kuliko kukaa kimya!

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Kumekucha hukoo

"CCM sio kichaka wala pango la wanyang’anyi. Viongozi wala rushwa na wezi ndani ya CCM sintocheka na nyie na nitawataja na kuendelea kuwasema hadharani daima"

"Bora nifukuzwe kabisa kuliko kukalia kimya rushwa na ufisadi unaofanywa kwa wachache na kuumiza mamilioni ya Watanzania"
 
Mpina unafaa 2025 kushika usukani ili kuyatoa haya mauzauza ya dereva wa sasa
 
Hata siku moja hutawaona wakikutana kwa ajili ya kuhoji meli kubwa Afrika inayojengwa ziwa victoria itaanza lini kufanya kazi,

Chadema wao ni siasa tu kila kukicha
 
Back
Top Bottom