Luhaga Mpina hamia CHADEMA, CCM hapakufai

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,494
Reaction score
96,074
Luhaga Mpina ameamua kujivua gamba.

Inawezekana ni kwakuwa yupo nje ya 18 za upigaji maana alipokuwa waziri sikuwahi kumsikia akiwa na akili kiasi hiki.

Anashangaa hadi leo hii kumuona Mwigulu Nchemba na Makame Mbarawa na Kadogosa wakiwa bado mitaani badala ya kuwa nyuma ya nondo za gereza la ukonga.

Kama akili zimemrudia hivi namshauri aombe kujiunga na cdm.
Screenshot_20230411-195302_Instagram.jpg
 
Sasa kama akienda Chadema si ndio atathibitisha ameenda kwa sababu amekosa ulaji CCM?

Mimi naona bora abaki hapo hapo, awaache hao jamaa wajikaange kwa mafuta yao wenyewe, wakionekana kumtenga tu, tutajua ni kwasababu anawaambia ukweli wasiopenda kuusikia.
 
Akienda cdm ataungana na team yenye kupigania haki badala ya kubakia kwenye team ya mafisi
 
Luhaga Mpina ameamua kujivua gamba.

Inawezekana ni kwakuwa yupo nje ya 18 za upigaji maana alipokuwa waziri sikuwahi kumsikia akiwa na akili kiasi hiki.

Anashangaa hadi leo hii kumuona Mwigulu Nchemba na Makame Mbarawa na Kadogosa wakiwa bado mitaani badala ya kuwa nyuma ya nondo za gereza la ukonga.

Kama akili zimemrudia hivi namshauri aombe kujiunga na cdm.View attachment 2584960View attachment 2584961
Huyu afahamu kwa marehemu hafufuki, period
 
Luhaga Mpina ameamua kujivua gamba.

Inawezekana ni kwakuwa yupo nje ya 18 za upigaji maana alipokuwa waziri sikuwahi kumsikia akiwa na akili kiasi hiki.

Anashangaa hadi leo hii kumuona Mwigulu Nchemba na Makame Mbarawa na Kadogosa wakiwa bado mitaani badala ya kuwa nyuma ya nondo za gereza la ukonga.

Kama akili zimemrudia hivi namshauri aombe kujiunga na cdm.View attachment 2584960View attachment 2584961
Mchawi mpe mwana akulelee abaki huko huko awafundisha watu maana ya kuwa mbunge pia waelewe kukosoa siyo lazima útoke upinzani
 
Luhaga Mpina ameamua kujivua gamba.

Inawezekana ni kwakuwa yupo nje ya 18 za upigaji maana alipokuwa waziri sikuwahi kumsikia akiwa na akili kiasi hiki.

Anashangaa hadi leo hii kumuona Mwigulu Nchemba na Makame Mbarawa na Kadogosa wakiwa bado mitaani badala ya kuwa nyuma ya nondo za gereza la ukonga.

Kama akili zimemrudia hivi namshauri aombe kujiunga na cdm.View attachment 2584960View attachment 2584961
Upuuzi mtupu!
 
Back
Top Bottom