Dokta Uchwara
JF-Expert Member
- Apr 29, 2022
- 1,370
- 3,152
Unatoa mbwa nje.Hao ni baba yako na mama yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatoa mbwa nje.Hao ni baba yako na mama yako
Unafaa kubezwa na watu wote.Huyu afahamu kwa marehemu hafufuki, period
Hunaga akili hata ya kusingiziwaUpuuzi mtupu!
Mambo gani yameharibika kisa tu cdm imeingia kwenye maridhiano ebu twambie ndugu hayo mamboBro. Naomba leo tuwe wakweli.
CDM imeuawa na maridhiano, wamekuwa voiceless...., amebaki Lissu na watu wachache, Mbowe sijui amekuwaje yuko kimya, mambo mazito yanatokea kama mwenyekiti yuko kimya.
2025 itaongea ukweli wote kuhusu upinzani
Wamefungwa midomoMambo gani yameharibika kisa tu cdm imeingia kwenye maridhiano ebu twambie ndugu hayo mambo
Sijui kwanini nchi ina chuki na neno...ukweli?Wanao mbeza Mpina ni masalia ya ccm ailia wasiyo taka kubadilika
Ahahahah hapo sina uhakika...ila atakua jinsia Me hata kama sio mwanaumeUna uhakika huyo msukuma ni mwanaume wa kweli?
CHADEMA haiaminiki Tena ngoja ni kuulize tangu walivyoingia kwenye maridhiano na CCM ya Mama Samia umeona umewahi kumuona au kumsikia mwenyekiti wako Mbowe anamkoa Mama Samia?Walamba asali walisha hukumiwa na Mungu sasa hivi wapo burigi
Wewe Mmawia wewe! Umekuaje leo? Mpina anatumia advantage ya uwazi aliouruhusu mama kusema anayoyasema. Mangapi yalifanyika awamu iliyopita lakini akapiga kimya? Mimi namuona kama mnafiki tu anayetafuta attention baada ya kukosa uwaziri. Mwanaume ni Bashe tu aliyeweza kuichallenge serikali hata wakati wa Magufuli.Luhaga Mpina ameamua kujivua gamba.
Inawezekana ni kwakuwa yupo nje ya 18 za upigaji maana alipokuwa waziri sikuwahi kumsikia akiwa na akili kiasi hiki.
Anashangaa hadi leo hii kumuona Mwigulu Nchemba na Makame Mbarawa na Kadogosa wakiwa bado mitaani badala ya kuwa nyuma ya nondo za gereza la ukonga.
Kama akili zimemrudia hivi namshauri aombe kujiunga na cdm.View attachment 2584960View attachment 2584961
Wewe na yeye hamanishi mkiisemacho ni WANAFKI WAKUBWA. Kifupi ni nongwa tuChadema ni CCM B, wanalamba asali
Kuna mambo mengi sana ya kukemea.Ok wacha nikukubalie sasa niambie ni mambo gani hayo yameharibika?
Kuning'iniza hizo kufuli na funguo haitoshi kuwa mwanaumeAhahahah hapo sina uhakika...ila atakua jinsia Me hata kama sio mwanaume
Ili awe mdeeHaki gani mwenyekiti ana miaka 40 habadiliki!
Mbona cdm kila kukicha wanalikemea na kulitolea ushauri wa nini kufanyike?Kuna mambo mengi sana ya kukemea.
Hii taarifa ya CAG ni jambo kubwa na nyeti lililobeba maslahi ya taifa.
Haikupaswa kumtuma Mnyika kutoa taarifa nusunusu bali alitakiwa ajitokeze akemee vikali hili jambo la ufisadi, ahamasishe maandamano kushinikiza serikali ichukue hatua kali