comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 9,019
- 6,825
Mmesha pata mgombea urais wa 2025 maana CHADEMA hamjawai kupata au kuwa na mgombea kutoka ndani ya CHADEMA- Mpina oyeeeLuhaga Mpina ameamua kujivua gamba.
Inawezekana ni kwakuwa yupo nje ya 18 za upigaji maana alipokuwa waziri sikuwahi kumsikia akiwa na akili kiasi hiki.
Anashangaa hadi leo hii kumuona Mwigulu Nchemba na Makame Mbarawa na Kadogosa wakiwa bado mitaani badala ya kuwa nyuma ya nondo za gereza la ukonga.
Kama akili zimemrudia hivi namshauri aombe kujiunga na cdm.View attachment 2584960View attachment 2584961