Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
- Thread starter
- #61
Kama utarudia kusoma kwenye bandiko vizuri nafikiri utaelewa vema.Wewe Mmawia wewe! Umekuaje leo? Mpina anatumia advantage ya uwazi aliouruhusu mama kusema anayoyasema. Mangapi yalifanyika awamu iliyopita lakini akapiga kimya? Mimi namuona kama mnafiki tu anayetafuta attention baada ya kukosa uwaziri. Mwanaume ni Bashe tu aliyeweza kuichallenge serikali hata wakati wa Magufuli.