Akienda cdm ataungana na team yenye kupigania haki badala ya kubakia kwenye team ya mafisiSasa kama akienda Chadema si ndio atathibitisha ameenda kwa sababu amekosa ulaji CCM?
Mimi naona bora abaki hapo hapo, awaache hao jamaa wajikaange kwa mafuta yao wenyewe, wakionekana kumtenga tu, tutajua ni kwasababu anawaambia ukweli wasiopenda kuusikia.
Ahahahahah mwanaume kulambwa tena?Unatamani wakulambe wewe
Huyu afahamu kwa marehemu hafufuki, periodLuhaga Mpina ameamua kujivua gamba.
Inawezekana ni kwakuwa yupo nje ya 18 za upigaji maana alipokuwa waziri sikuwahi kumsikia akiwa na akili kiasi hiki.
Anashangaa hadi leo hii kumuona Mwigulu Nchemba na Makame Mbarawa na Kadogosa wakiwa bado mitaani badala ya kuwa nyuma ya nondo za gereza la ukonga.
Kama akili zimemrudia hivi namshauri aombe kujiunga na cdm.View attachment 2584960View attachment 2584961
Mchawi mpe mwana akulelee abaki huko huko awafundisha watu maana ya kuwa mbunge pia waelewe kukosoa siyo lazima útoke upinzaniLuhaga Mpina ameamua kujivua gamba.
Inawezekana ni kwakuwa yupo nje ya 18 za upigaji maana alipokuwa waziri sikuwahi kumsikia akiwa na akili kiasi hiki.
Anashangaa hadi leo hii kumuona Mwigulu Nchemba na Makame Mbarawa na Kadogosa wakiwa bado mitaani badala ya kuwa nyuma ya nondo za gereza la ukonga.
Kama akili zimemrudia hivi namshauri aombe kujiunga na cdm.View attachment 2584960View attachment 2584961
Upuuzi mtupu!Luhaga Mpina ameamua kujivua gamba.
Inawezekana ni kwakuwa yupo nje ya 18 za upigaji maana alipokuwa waziri sikuwahi kumsikia akiwa na akili kiasi hiki.
Anashangaa hadi leo hii kumuona Mwigulu Nchemba na Makame Mbarawa na Kadogosa wakiwa bado mitaani badala ya kuwa nyuma ya nondo za gereza la ukonga.
Kama akili zimemrudia hivi namshauri aombe kujiunga na cdm.View attachment 2584960View attachment 2584961
Mwambie huyu mleta uzi mjukuu wa fukufuku!Mchawi mpe mwana akulelee abaki huko huko awafundisha watu maana ya kuwa mbunge pia waelewe kukosoa siyo lazima útoke upinzani
Umechanganyikiwa!Unatamani wakulambe wewe
Haki gani mwenyekiti ana miaka 40 habadiliki!Akienda cdm ataungana na team yenye kupigania haki badala ya kubakia kwenye team ya mafisi
What a wasted maniiChadema ni ccm B ,wanalamba asali
Hapana, tujuzeUnajua maana ya neno mpina?
Atakuwa upinde huyuUnatamani wakulambe wewe