Mc Kaskas
Senior Member
- Dec 13, 2017
- 112
- 177
Kama raisi ni mali ya Jamuhuri kwanini alipoumwa watu wakasanuka na hao kina mpina wakaanza kututisha?Kabla hujatuhumu jiulize kwanini sasa yasemwe hayo!!?
Kwanini yametolewa matamko fulani kuhusu hayo yanayoleta uwalakini!!?
Katumwa na na nani!!?hujui Raise ni mali ya jamuhuri!!?
Haya mambo ya kimfumo tuwaachie wenyewe tusubiri ripoti TU ya uchunguzi kama wataridhia uchunguzi ufanyike!!
Rais ni mali ya Jamuhuri? Ilikuwaje Jiwe akatuficha kuugua kwa Mkapa?