chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Hali ya kisiasa ya Luhaga Mpina jimboni kwake ni mbaya sana, kila anakopita watu wanamsonya, na wanajiapiza kumsubiri mwaka 2025 wamponde ponde.
Jitihada za Mpina kujijenga kisiasa kwa kushambulia watu zinagonga mwamba kwa kuwa alikuwa moja ya viongozi makatili na madikteta waliotesa wavuvi na wafugaji wa kanda ya ziwa kwa mkono wake wa uliojaa damu.
Baadhi ya watu wanasema Mpina ni kiongozi anayechukiwa zaidi kanda ya ziwa.