Conquistador
JF-Expert Member
- Jun 10, 2024
- 1,435
- 3,463
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unachanganya na Uzalendo wa Kitanzaniachiembe unalipwa na Nani?
Kuna thread yako unasema upewe ruksa umshughulikie huyu mwamba.
Mbona una chuki na mfichua maovu? Au wewe ndio muovu?
Mpina ni tapeli tu, hata morogoro ametapeli ekari 1000 za wakulima, kama anajifanya anapenda wazalendo na masikini, awarudishie mashamba yao, matrekta yake yanalima mpaka kwenye milango ya wanavijijichiembe unalipwa na Nani?
Kuna thread yako unasema upewe ruksa umshughulikie huyu mwamba.
Mbona una chuki na mfichua maovu? Au wewe ndio muovu?
Kwa hili la mashamba, Kama atavaa magwanda ya chadema ajihesabu Hana shamba.Mpina ni tapeli tu, hata morogoro ametapeli ekari 1000 za wakulima, kama anajifanya anapenda wazalendo na masikini, awarudishie mashamba yao, matrekta yake yanalima mpaka kwenye milango ya wanavijiji
Chawa akili ndogo...we ni kupiga Mapambio tuIdara ya uhasibu chadema imekoshwa na kasi ya Luhaga Mpina kuagiza kombati za kila rangi kutoka chadema. Jambo hilo linawashangaza, na baadhi wanajiuliza ni mapenzi yake kwa nguo hizo, au kuna jambo nyuma ya pazia.
Hali ya kisiasa ya Luhaga Mpina jimboni kwake ni mbaya sana, kila anakopita watu wanamsonya, na wanajiapiza kumsubiri mwaka 2025 wamponde ponde.
Jitihada za Mpina kujijenga kisiasa kwa kushambulia watu zinagonga mwamba kwa kuwa alikuwa moja ya viongozi makatili na madikteta waliotesa wavuvi na wafugaji wa kanda ya ziwa kwa mkono wake wa uliojaa damu.
Baadhi ya watu wanasema Mpina ni kiongozi anayechukiwa zaidi kanda ya ziwa.
View attachment 3017689
Kweli ni chadema mtupu,kwa jinsi anavyopigania maslahi ya nchi na kuwachachafya wezi na wahujumu mafisadi wa nchi ni lazima tu atakuwa Chadema huyu,maana kama angekua ccm basi na yeye angekua mwizi kama walivyo ma ccm wote, naunga mkono hoja yako mkuu.Huyo ni chadema
Ndiyo, huyu chiembe na digba sowey walikuwa ni wavuvi haramu huko nyuma, sasa mpina akawashughulikia kama alivyotanabaisha mkuu digba sowey, kwa hiyo wana chuki kubwa mno na Luaga mpina,ila kwa taarifa yao Mh Luaga mpina ndiye shujaa wa taifa kwa sasa.chiembe unalipwa na Nani?
Kuna thread yako unasema upewe ruksa umshughulikie huyu mwamba.
Mbona una chuki na mfichua maovu? Au wewe ndio muovu?
Presha yanini?!! Hata Kinana kakiri uchaguzi mwaka huu utakuwa mgumu.Idara ya uhasibu chadema imekoshwa na kasi ya Luhaga Mpina kuagiza kombati za kila rangi kutoka chadema. Jambo hilo linawashangaza, na baadhi wanajiuliza ni mapenzi yake kwa nguo hizo, au kuna jambo nyuma ya pazia.
Hali ya kisiasa ya Luhaga Mpina jimboni kwake ni mbaya sana, kila anakopita watu wanamsonya, na wanajiapiza kumsubiri mwaka 2025 wamponde ponde.
Jitihada za Mpina kujijenga kisiasa kwa kushambulia watu zinagonga mwamba kwa kuwa alikuwa moja ya viongozi makatili na madikteta waliotesa wavuvi na wafugaji wa kanda ya ziwa kwa mkono wake wa uliojaa damu.
Baadhi ya watu wanasema Mpina ni kiongozi anayechukiwa zaidi kanda ya ziwa.
View attachment 3017689
Mkuu usione mamba anatoa machozi ukadhani anakuonea huruma,la hasha!! Kama unadhani haya maneno yangu ni chuki dhidi ya luhaga ,wewe pay a vist kanda ya ziwa uwaulize watu juu ya huyu jamaa ,hakika utatoa machozi,luhaga sio shujaa hata kidogo,ni mtu mwenye chuki na mfa maji.Ndiyo, huyu chiembe na digba sowey walikuwa ni wavuvi haramu huko nyuma, sasa mpina akawashughulikia kama alivyotanabaisha mkuu digba sowey, kwa hiyo wana chuki kubwa mno na Luaga mpina,ila kwa taarifa yao Mh Luaga mpina ndiye shujaa wa taifa kwa sasa.
Chiembe ni moja ya taka taka za jamiiii forum ....... ni moja ya wapumbavu wa mtandao huuu ...Idara ya uhasibu chadema imekoshwa na kasi ya Luhaga Mpina kuagiza kombati za kila rangi kutoka chadema. Jambo hilo linawashangaza, na baadhi wanajiuliza ni mapenzi yake kwa nguo hizo, au kuna jambo nyuma ya pazia.
Hali ya kisiasa ya Luhaga Mpina jimboni kwake ni mbaya sana, kila anakopita watu wanamsonya, na wanajiapiza kumsubiri mwaka 2025 wamponde ponde.
Jitihada za Mpina kujijenga kisiasa kwa kushambulia watu zinagonga mwamba kwa kuwa alikuwa moja ya viongozi makatili na madikteta waliotesa wavuvi na wafugaji wa kanda ya ziwa kwa mkono wake wa uliojaa damu.
Baadhi ya watu wanasema Mpina ni kiongozi anayechukiwa zaidi kanda ya ziwa.
View attachment 3017689
Mti wenye maembe ndio unaotupiwa mawe. Mpina ni jembe na unalijua hilo. Mbona humsemi Mb. Kasalali wa Sumve au Mb. Kiswaga wa Magu? Mb. Mpina unamjua vizuri sana na 2025 atapitishwa na CCM kuendelea kuliongoza vyema Jimbo la Kisesa!Idara ya uhasibu chadema imekoshwa na kasi ya Luhaga Mpina kuagiza kombati za kila rangi kutoka chadema. Jambo hilo linawashangaza, na baadhi wanajiuliza ni mapenzi yake kwa nguo hizo, au kuna jambo nyuma ya pazia.
Hali ya kisiasa ya Luhaga Mpina jimboni kwake ni mbaya sana, kila anakopita watu wanamsonya, na wanajiapiza kumsubiri mwaka 2025 wamponde ponde.
Jitihada za Mpina kujijenga kisiasa kwa kushambulia watu zinagonga mwamba kwa kuwa alikuwa moja ya viongozi makatili na madikteta waliotesa wavuvi na wafugaji wa kanda ya ziwa kwa mkono wake wa uliojaa damu.
Baadhi ya watu wanasema Mpina ni kiongozi anayechukiwa zaidi kanda ya ziwa.
View attachment 3017689
🤣 🤣 🤣Kwa hili la mashamba, Kama atavaa magwanda ya chadema ajihesabu Hana shamba.