Acha ufitini,,wewe ndo inamchukia labdaIdara ya uhasibu chadema imekoshwa na kasi ya Luhaga Mpina kuagiza kombati za kila rangi kutoka chadema. Jambo hilo linawashangaza, na baadhi wanajiuliza ni mapenzi yake kwa nguo hizo, au kuna jambo nyuma ya pazia.
Hali ya kisiasa ya Luhaga Mpina jimboni kwake ni mbaya sana, kila anakopita watu wanamsonya, na wanajiapiza kumsubiri mwaka 2025 wamponde ponde.
Jitihada za Mpina kujijenga kisiasa kwa kushambulia watu zinagonga mwamba kwa kuwa alikuwa moja ya viongozi makatili na madikteta waliotesa wavuvi na wafugaji wa kanda ya ziwa kwa mkono wake wa uliojaa damu.
Baadhi ya watu wanasema Mpina ni kiongozi anayechukiwa zaidi kanda ya ziwa.
View attachment 3017689
Chadema ni mabingwa kuchukua silaha chakavu Ili kuzitumia kujaribu kuiumiza CCM.Idara ya uhasibu chadema imekoshwa na kasi ya Luhaga Mpina kuagiza kombati za kila rangi kutoka chadema. Jambo hilo linawashangaza, na baadhi wanajiuliza ni mapenzi yake kwa nguo hizo, au kuna jambo nyuma ya pazia.
Hali ya kisiasa ya Luhaga Mpina jimboni kwake ni mbaya sana, kila anakopita watu wanamsonya, na wanajiapiza kumsubiri mwaka 2025 wamponde ponde.
Jitihada za Mpina kujijenga kisiasa kwa kushambulia watu zinagonga mwamba kwa kuwa alikuwa moja ya viongozi makatili na madikteta waliotesa wavuvi na wafugaji wa kanda ya ziwa kwa mkono wake wa uliojaa damu.
Baadhi ya watu wanasema Mpina ni kiongozi anayechukiwa zaidi kanda ya ziwa.
View attachment 3017689
Dah kuna wakati unaweza ukawa unamchafua mtu mpaka wewe mwenyewe unajishtukia aise.Idara ya uhasibu chadema imekoshwa na kasi ya Luhaga Mpina kuagiza kombati za kila rangi kutoka chadema. Jambo hilo linawashangaza, na baadhi wanajiuliza ni mapenzi yake kwa nguo hizo, au kuna jambo nyuma ya pazia.
Hali ya kisiasa ya Luhaga Mpina jimboni kwake ni mbaya sana, kila anakopita watu wanamsonya, na wanajiapiza kumsubiri mwaka 2025 wamponde ponde.
Jitihada za Mpina kujijenga kisiasa kwa kushambulia watu zinagonga mwamba kwa kuwa alikuwa moja ya viongozi makatili na madikteta waliotesa wavuvi na wafugaji wa kanda ya ziwa kwa mkono wake wa uliojaa damu.
Baadhi ya watu wanasema Mpina ni kiongozi anayechukiwa zaidi kanda ya ziwa.
View attachment 3017689
nilikuwa sijamjua aliyeposti kama ni yule sehemu za siri! basi sijibuIdara ya uhasibu chadema imekoshwa na kasi ya Luhaga Mpina kuagiza kombati za kila rangi kutoka chadema. Jambo hilo linawashangaza, na baadhi wanajiuliza ni mapenzi yake kwa nguo hizo, au kuna jambo nyuma ya pazia.
Hali ya kisiasa ya Luhaga Mpina jimboni kwake ni mbaya sana, kila anakopita watu wanamsonya, na wanajiapiza kumsubiri mwaka 2025 wamponde ponde.
Jitihada za Mpina kujijenga kisiasa kwa kushambulia watu zinagonga mwamba kwa kuwa alikuwa moja ya viongozi makatili na madikteta waliotesa wavuvi na wafugaji wa kanda ya ziwa kwa mkono wake wa uliojaa damu.
Baadhi ya watu wanasema Mpina ni kiongozi anayechukiwa zaidi kanda ya ziwa.
View attachment 3017689
Chawa kazi yenu ni kusifia pekeeBinafsi luhaga siwezi kumuelewa,naona kama mtu aliye nachuki baada ya kukosa uwaziri na kuhisi kuwa kiti chake cha ubunge kiko matatani,alichoma nyavu zangu huyu bwana huku akiomba rushwa ya sh 10M kwa kila mvuvi.
Wema na uzuri wake uko wapi,au laana inamuandama
Kweli kabisaBinafsi luhaga siwezi kumuelewa,naona kama mtu aliye nachuki baada ya kukosa uwaziri na kuhisi kuwa kiti chake cha ubunge kiko matatani,alichoma nyavu zangu huyu bwana huku akiomba rushwa ya sh 10M kwa kila mvuvi.
Wema na uzuri wake uko wapi,au laana inamuandama
Malizaneni hukohuko nyie machawa wao sukuma ngang a.k.a wazee wa legacy ππππIdara ya uhasibu chadema imekoshwa na kasi ya Luhaga Mpina kuagiza kombati za kila rangi kutoka chadema. Jambo hilo linawashangaza, na baadhi wanajiuliza ni mapenzi yake kwa nguo hizo, au kuna jambo nyuma ya pazia.
Hali ya kisiasa ya Luhaga Mpina jimboni kwake ni mbaya sana, kila anakopita watu wanamsonya, na wanajiapiza kumsubiri mwaka 2025 wamponde ponde.
Jitihada za Mpina kujijenga kisiasa kwa kushambulia watu zinagonga mwamba kwa kuwa alikuwa moja ya viongozi makatili na madikteta waliotesa wavuvi na wafugaji wa kanda ya ziwa kwa mkono wake wa uliojaa damu.
Baadhi ya watu wanasema Mpina ni kiongozi anayechukiwa zaidi kanda ya ziwa.
View attachment 3017689
Wote si mpo chama cha mambuzi huo msala wenu mnataka kumuuzia nani!?.Samahani lakini aliyewaita hivyo sio Mimi nimekopi kwa balozi wa China πππMsiba ni jambo shirikishi
Kuanzia lini!? πHuyo ni chadema