Pre GE2025 Luhaga Mpina kuendelea kudumu CCM au atafanyiwa figisu?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
chiembe unalipwa na Nani?
Kuna thread yako unasema upewe ruksa umshughulikie huyu mwamba.
Mbona una chuki na mfichua maovu? Au wewe ndio muovu?
Mpina ni tapeli tu, hata morogoro ametapeli ekari 1000 za wakulima, kama anajifanya anapenda wazalendo na masikini, awarudishie mashamba yao, matrekta yake yanalima mpaka kwenye milango ya wanavijiji
 
Mpina ni tapeli tu, hata morogoro ametapeli ekari 1000 za wakulima, kama anajifanya anapenda wazalendo na masikini, awarudishie mashamba yao, matrekta yake yanalima mpaka kwenye milango ya wanavijiji
Kwa hili la mashamba, Kama atavaa magwanda ya chadema ajihesabu Hana shamba.
 
Chawa akili ndogo...we ni kupiga Mapambio tu
 
Huyo ni chadema
Kweli ni chadema mtupu,kwa jinsi anavyopigania maslahi ya nchi na kuwachachafya wezi na wahujumu mafisadi wa nchi ni lazima tu atakuwa Chadema huyu,maana kama angekua ccm basi na yeye angekua mwizi kama walivyo ma ccm wote, naunga mkono hoja yako mkuu.
 
Tunahitaji watu wenye akili za kuhoji zaidi badala ya kusifia kila kitu.
Watu kama Mpina ni muhimu kwenye chama kuliko wanaosifu na kuabudu.
Yawezekana, na narudia yawezekana Mpina ni mzalendo na mtiifu kwa Rais na Jamhuri ya Muungano zaidi ya wengi wanaosifu na kuabudu.
Loyalty ya binadamu ni tofauti na ya wanyama kama mbwa na ni muhimu kuelewa na kutofautisha.
 
chiembe unalipwa na Nani?
Kuna thread yako unasema upewe ruksa umshughulikie huyu mwamba.
Mbona una chuki na mfichua maovu? Au wewe ndio muovu?
Ndiyo, huyu chiembe na digba sowey walikuwa ni wavuvi haramu huko nyuma, sasa mpina akawashughulikia kama alivyotanabaisha mkuu digba sowey, kwa hiyo wana chuki kubwa mno na Luaga mpina,ila kwa taarifa yao Mh Luaga mpina ndiye shujaa wa taifa kwa sasa.
 
CHADEMA wakimkosa Ndugai wamwombe Luhaga Mpina awe mgombea wao wa urais. Huko 2025 waanze kumsafisha kwa uovu wake wa kuchoma nyavu za wavuvi wa nchi hii na kupima samaki kwa rula.
 
Presha yanini?!! Hata Kinana kakiri uchaguzi mwaka huu utakuwa mgumu.
 
Kumekucha πŸ™„
Soon kutatokea CCM Asili na Ccm maslahi πŸ˜³πŸ˜³πŸ˜…πŸ˜…
Lakini labda naota tu πŸ€ πŸ˜‡πŸ˜…
 
Mkuu usione mamba anatoa machozi ukadhani anakuonea huruma,la hasha!! Kama unadhani haya maneno yangu ni chuki dhidi ya luhaga ,wewe pay a vist kanda ya ziwa uwaulize watu juu ya huyu jamaa ,hakika utatoa machozi,luhaga sio shujaa hata kidogo,ni mtu mwenye chuki na mfa maji.

Ile opareshi uchwara aliyoendesha alikuwa akipokea rushwa ya sh 10M kwa kila mvuvi,huyu bwana hafai,na mimi ni mhanga namba moja wa huyu bwana,kwanza hana hata aibu kuendelea kuwemo bungeni,wananchi wanamsubiri kwa hamu sana2025
 
Chiembe ni moja ya taka taka za jamiiii forum ....... ni moja ya wapumbavu wa mtandao huuu ...
 
Mti wenye maembe ndio unaotupiwa mawe. Mpina ni jembe na unalijua hilo. Mbona humsemi Mb. Kasalali wa Sumve au Mb. Kiswaga wa Magu? Mb. Mpina unamjua vizuri sana na 2025 atapitishwa na CCM kuendelea kuliongoza vyema Jimbo la Kisesa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…