Pre GE2025 Luhaga Mpina kuendelea kudumu CCM au atafanyiwa figisu?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mpina ni tapeli tu, hata morogoro ametapeli ekari 1000 za wakulima, kama anajifanya anapenda wazalendo na masikini, awarudishie mashamba yao, matrekta yake yanalima mpaka kwenye milango ya wanavijiji
Mboma serikali haimunganyi?
 
Luhaga anaendelea kuwanyoosha majizi ya ccm,sasa wanahaha tu chama cha mambuzi
 
mbona bashe naye anazivaa sana
 
Nimeelewa Kuwa ukisema kukemea mabaya na ufisadi wa maccm ndo unachukiwa

Ukiwa mtu safi wa dhamira unaenda chadema kwa kuwe huwezi kaa ccm
 
Mpina ametusaidia kujua kwamba
Samia na familia yake, bashe na mwigulu wamechezea bei ya sukari

Aksante mpina kwa ujasori huu
Yale mambo ya kuchoma nyavu na kupima samaki tumeishayasahau na kusamehe

Hakika wewe ni mzalendo
Labda nikushauri usihame chama endeleza harakati hukohuko
 
Kwa nini alichoma nyavu za wavuvi?
 
Si dhani kama kanda ya Ziwa ni wajinga kiasi hicho
 
Rubbish
 
Majungu.com
 
Kwani vazi hilo linazalishwa kwenye kiwanda cha CDM.
 
Wewe ndo unachukiwa na kila mwana JF atakayesoma hili bandiko lako
 
Mbona hamkosema mapema,,kwanini museme baada ya kumwaga unga
 
Mti wenye maembe ndio unaotupiwa mawe. Mpina ni jembe na unalijua hilo. Mbona humsemi Mb. Kasalali wa Sumve au Mb. Kiswaga wa Magu? Mb. Mpina unamjua vizuri sana na 2025 atapitishwa na CCM kuendelea kuliongoza vyema Jimbo la Kisesa!
Ni kweli kabisa mti wenye matunda ndio upigwao mawe !

Mpina ni jembe ! Sio Mzee wa Ndiooooooo. πŸ™„πŸ˜³
 
Nimeelewa Kuwa ukisema kukemea mabaya na ufisadi wa maccm ndo unachukiwa

Ukiwa mtu safi wa dhamira unaenda chadema kwa kuwe huwezi kaa ccm
Ukiwa mtu safi unaitetea Nchi utachukiwa haraka sana na hayo MAJITU πŸ™„
Ni kweli usemayo πŸ™„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…