ndolelejiUduhe
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,837
- 3,027
Tanganyika na Zanzibar ziliungana ndio ikapatikana jina Tanzania !kwanini tanganyika iongozwe na mzanzibar mwanamke?
ni sawa na kuwapa mbwa chakula cha watoto wako
Yeyote anaweza kuwa Rais kutoka upande wowote ule !!
Labda mpaka Muungano uvunjike !
Na Muungano ni ngumu kuvunjika ila unaweza ukaboreshwa kama ilivyo pendekezwa na Rasimu ya Katiba ya Mzee Warioba !
Serikali Tatu 😳 !
Hapo vipi ???!!