Luhaga Mpina: Kuna watendaji wa Serikali katika ngazi za maamuzi ambao sio raia wa Tanzania

Luhaga Mpina: Kuna watendaji wa Serikali katika ngazi za maamuzi ambao sio raia wa Tanzania

Vetting inatakiwa iwe imara.mtu kama hakuzaliwa Tanzania kutoka kwa mzazi mtanzania ( mama au baba aliyezaliwa Tanzania) asipewe uteuzi au nafasi nyeti!!
 
Kwani hela anazolalamikia zinaibwa zinapelekwa nje ya nchi?

Sidhani kama Kuna raia aliyezaliwa Tanzania anaweza kuwa na interest ya kudhofisha nchi yake kwa maslahi ya nchi nyengine.inawezekana but kwa idadi ndogo sana.japo kuna kabila fulani wao Wana roho mbaya ya kupanga mikakati kibaya kwa zaidi ya miaka 50!!
Kwahiyo mikataba ya hovyo ya uwekezaji na fedha za kifisadi zilizofichwa kwenye mabenki ya Uswisi na Uskochi, chanzo ni Watutsi ?​
 
Zanzibar na Tanganyika ziliungana mwaka 1964 ndipo ilipopatikana Nchi inaitwa Tanzania 🇹🇿 !
Zanzibar ni nchi kwa mujibu wa katiba yao ya 2010. Wana wimbo wa taifa, rais wao, jeshi lao na bendera yao. Acha kujidanganya ndugu.
 
Ni aibu kubwa kama taifa kuendelea kusema uzembe wetu hadharani!!

Wangeshughulika nalo kimya kimya kijasusi kuliko kuja kwa wananchi na kelele kama hizi hii inaonyesha taasisi zifuatazo ni dhaifu!

1.uhamiaji2.Vetting 3. jeshi kwa ujumla yaani typo uchi kabisa!
Mimi huwa naangalia tu, nabaki Kushangaa. Suala la uraia lipo wazi, sasa haya malalamiko ya nini
 
This guy is frustrated anafanya kazi vizuri za bungeni lakini akumbuki YEYE aliwazingua wavuvi wengi kweli unapima samaki kwa ruler nikiona story zake I see him so frustrated na ana utaka uwaziri abadilike huyu jamaa
 
CCM itapata pigo kubwa sana mwaka huu, pigo moja tu, pigo lililonyooka, pigo takatifu.
 
M23 ilianza hivi hivi kwa prejudices za namna hii. Mara makamo sio raia na wengi wengineo. Ukiitaka Kigoma kwenye Tanzania ni lazima uwakubali wenyeji wake pamoja na utamaduni wao.... Vinginevyo kinachotokea Goma sasa hivi ambapo M23 ndio "The new sheriff in town" kinaweza kutokea magharibi ya Tanganyika. 😲
Nimeikumbuka There’s New Sherrif in town 😅😅
 
This guy is frustrated anafanya kazi vizuri za bungeni lakini akumbuki YEYE aliwazingua wavuvi wengi kweli unapima samaki kwa ruler nikiona story zake I see him so frustrated na ana utaka uwaziri abadilike huyu jamaa
Sasa unaona tulivyo Watanzania yaani mtu akitaka watu wazifuate sheria kikweli kweli kwa manufaa ya Nchi na watu wake wengine wanaona jamaa anazingua !

😱😳 ! Watu walitakiwa wasiwavue samaki wadogo lakini walikuwa wakiendelea kuwavua na kutoa visingizio kibao !
Ndio maana Jamaa akaamua kuwapima kwa rula ili kuondoa ubishi wa kwamba waliovuliwa ni bado hawakustahili kuvuliwa au walistahili. ?!

Walizuiwa aina ya nyavu wasizitumie lakini baadhi ya wavuvi wakawa ni wakaidi ! Hapo rula ni lazima itumike 😳😅 !
 
Mpina ni wa kupigwa pini haraka vinginevyo akichekewa ataleta shida kwenye amani ya nchi hii. Vyombo vinavyohusika vimshughulikie.
Hapo katika kupigwa Pini / Ashughulikiwe unamaanisha kuwa Auliwe, apewe Ulemavu au awekewe Gerezani? Tunasubiria mrejesho wako kwani unaonekana si tu una Roho Mbaya au Mkatili ila pia una Characters zote za Mtu Mchawi / Jini.
 
Mimi huwa naangalia tu, nabaki Kushangaa. Suala la uraia lipo wazi, sasa haya malalamiko ya nini
Hapo sasa ndipo unaweza ukaona hizi zote ni sarakasi tu zisizo na kichwa wala miguu !
Mtu anawezaje kupewa mpaka Ubunge wa kupigiwa kura na wananchi ambao wanamfahamu huyo mtu na wanawafahamu wazazi wake kisha waje wengine waseme eti huyo jamaa sio raia wa Nchi hii ???!!! 😳🙄
Kama ni kweli pelekeni ushahidi na huyo mtuhumiwa naye apeleke ushahidi ili mbivu na mbichi zijulikane ! Au sio hivyo Mkuu ??!
 
Mtu anapozungumza anatakiwa kujibiwa kwa hoja
Mimi sioni hoja hapa, ukisema huyu sio Mtanzania mimi naelewa kuwa hana ID wala passport sio mtanzania kabisa lakini huwezi kusema huyu sio mtanzania kwa sababu tu babu zake wana asili ya nchi fulani lakini kapata uraia kwa mujibu wa sheria. Natoa mfano tu na kwa sababu mtu maarufu lakini wako wengi, Mo Dewji utasema sio Mtanzania? hapana ni mtanzania kisheria pamoja na kwamba babu zake asili yao ni India. Bakhresa ni mtanzania japo asili yake mwaarabu. Ila kama kuna mtu una ushahidi kapata uraia kwa njia sio halali hapo weka ushahidi. Maana mimi naweza kuwa sio Mtanzania lakini nipata uraia leo kisheria moja kwa moja nakuwa mtanzania huwezi kuniambia wewe sio mtanzania.

Kuna haja ya kufafanua Mtanzania ni nani na si mtanzania ni nani, ni kama anataka kuleta ukabila sababu makabila yote ya mipakani utawakuta sehemu mbili, wamasai, wajaluo, wakurya, wamakonde hata wadigo na wengine wengi kikubwa wewe ni raia document zako halili ni mtanzania asiyekuwa mtanzania ni yule hana kitu kuonesha yeye raia, mengine kama una ushahidi huyu sio raia sababu hana doc au hajapata kihalali hilo suala lingine. USA huko hakuna pale asiyekuwa na asili katokea wapi ila ni sheria moja tu wanayo huwezi kuwa Rais wa USA kama hukuzaliwa USA basi mengine yote sio muhimu.
 
What matters is your loyalty and abiding with constitution procedures. FBI director's parents live in India, they are Indians. Yet, their son pleads loyal to American values and citizenship. These Tutsi, abide with Kigali.
Check what happened last month in Uganda. They want to start the same thing M23 are doing in Congo.
That’s it 👍🙏
 
Mimi sioni hoja hapa, ukisema huyu sio Mtanzania mimi naelewa kuwa hana ID wala passport sio mtanzania kabisa lakini huwezi kusema huyu sio mtanzania kwa sababu tu babu zake wana asili ya nchi fulani lakini kapata uraia kwa mujibu wa sheria. Natoa mfano tu na kwa sababu mtu maarufu lakini wako wengi, Mo Dewji utasema sio Mtanzania? hapana ni mtanzania kisheria pamoja na kwamba babu zake asili yao ni India. Bakhresa ni mtanzania japo asili yake mwaarabu. Ila kama kuna mtu una ushahidi kapata uraia kwa njia sio halali hapo weka ushahidi. Maana mimi naweza kuwa sio Mtanzania lakini nipata uraia leo kisheria moja kwa moja nakuwa mtanzania huwezi kuniambia wewe sio mtanzania.

Kuna haja ya kufafanua Mtanzania ni nani na si mtanzania ni nani, ni kama anataka kuleta ukabila sababu makabila yote ya mipakani utawakuta sehemu mbili, wamasai, wajaluo, wakurya, wamakonde hata wadigo na wengine wengi kikubwa wewe ni raia document zako halili ni mtanzania asiyekuwa mtanzania ni yule hana kitu kuonesha yeye raia, mengine kama una ushahidi huyu sio raia sababu hana doc au hajapata kihalali hilo suala lingine. USA huko hakuna pale asiyekuwa na asili katokea wapi ila ni sheria moja tu wanayo huwezi kuwa Rais wa USA kama hukuzaliwa USA basi mengine yote sio muhimu.
Umemaliza ! 🙏🙏🙏👍✅
 
Hapo katika kupigwa Pini / Ashughulikiwe unamaanisha kuwa Auliwe, apewe Ulemavu au awekewe Gerezani? Tunasubiria mrejesho wako kwani unaonekana si tu una Roho Mbaya au Mkatili ila pia una Characters zote za Mtu Mchawi / Jini.
Merry new year POPOMA
 
Back
Top Bottom