ndolelejiUduhe
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,837
- 3,027
Tanganyika na Zanzibar ziliungana ndio ikapatikana jina Tanzania !kwanini tanganyika iongozwe na mzanzibar mwanamke?
ni sawa na kuwapa mbwa chakula cha watoto wako
Wapinzani mbona huaga wanafanyiwa haya haya, wafanyaji wale nao vipi wapigwe PINI? Again, shutuma za Mpina sio mpya, ni unafiki wa Kitanzania tu wa kujifanya hatujui wakati hadi CDF alitamka jambo hili hadharani mbele ya rais.Mpina ni wa kupigwa pini haraka vinginevyo akichekewa ataleta shida kwenye amani ya nchi hii. Vyombo vinavyohusika vimshughulikie.
lini mtanganyika kawa rais zanzibar?Yeyote anaweza kuwa Rais kutoka upande wowote ule !!
Katiba mpya bora ni muhimu sana !lini mtanganyika kawa rais zanzibar?
Mtu anaewaambia Kuna tatizo,apigwe pin,acha hizo wewe,binaadamu hatakiwi kuwa Kama wewe ulivyoMpina ni wa kupigwa pini haraka vinginevyo akichekewa ataleta shida kwenye amani ya nchi hii. Vyombo vinavyohusika vimshughulikie.
Ndio wako vile huko Chamani kwao 😳!Mtu anaewaambia Kuna tatizo,apigwe pin,acha hizo wewe,binaadamu hatakiwi kuwa Kama wewe ulivyo