Kijiwe Samli Bom BomUnaweza kuvitaja hivyo vijiwe. 🐼
Kunaweza kuwa na ukweli katika hili,...'qualified truth'.Zaidi sana watu wanamkumbuka mtumishi wa Mungu, JPM.
Nilicho ipendea mada yako hasa hasa ni maelezo haya uliyoweka hapa chini:
Zaidi sana wameichukia serikali hii kwa kiwango kisichoelezeka, hasa kwa kosa la kuwakumbatia MAFISADI. Hukumu ya Mpina imeweka mambo wazi kabisa kwamba kwa serikali hii, MAFISADI wanalindwa na kutetewa na mihimili yote ya serikali na wanaowafichua MAFISADI wanapigwa mawe na mihimili yote ya serikali.
Kwa vile hakuna hata kimoja ya kijiwe unachokifahamu wewe, jibu ni kwamba vijiwe hivyo havipo!Unaweza kuvitaja hivyo vijiwe. 🐼
Ni kweli kabisa, leo wafanyabiashara wote wanasema bora wakati wa JPM kwa sababu hizi:-Mi ninachoshangaa hata wale waluomchukia JPM wanamkumbuka. Kwamba Bora yule alikua na mapungufu mengine Kwa wanasiasa ila kwenye uchumi na kuwajali wanachi angekua hai tungekua mbali.
Nikashangaa sana, tajiri uliemchukua Leo hii unamkumbuka duuhh, Hali sio poa.
Sahihi kabisaTangu hukumu ya Mpina itolewe pale Bungeni, vijiwe na maeneo yote yenye mikusanyiko wanamlilia Mpina na wamewachukia kabisa wanaojiita Wabunge.
Zaidi ya 98% wanaona Mpina hakutendewa haki.
Zaidi sana wameichukia serikali hii kwa kiwango kisichoelezeka, hasa kwa kosa la kuwakumbatia MAFISADI. Hukumu ya Mpina imeweka mambo wazi kabisa kwamba kwa serikali hii, MAFISADI wanalindwa na kutetewa na mihimili yote ya serikali na wanaowafichua MAFISADI wanapigwa mawe na mihimili yote ya serikali.
Zaidi sana watu wanamkumbuka mtumishi wa Mungu, JPM.
taja chama chako cha siasa tuweze kutathmini hayo maoni ya vijiwe vingi kihusu huyo muungwanaTangu hukumu ya Mpina itolewe pale Bungeni, vijiwe na maeneo yote yenye mikusanyiko wanamlilia Mpina na wamewachukia kabisa wanaojiita Wabunge.
Zaidi ya 98% wanaona Mpina hakutendewa haki.
Zaidi sana wameichukia serikali hii kwa kiwango kisichoelezeka, hasa kwa kosa la kuwakumbatia MAFISADI. Hukumu ya Mpina imeweka mambo wazi kabisa kwamba kwa serikali hii, MAFISADI wanalindwa na kutetewa na mihimili yote ya serikali na wanaowafichua MAFISADI wanapigwa mawe na mihimili yote ya serikali.
Zaidi sana watu wanamkumbuka mtumishi wa Mungu, JPM.
hivi mapumzikoni zabzibar anaenda lini vile kwa ufadhili wa mabwenyenye ya makampuni ya sukariMpina ameyashika haya majangili
Moja ya kitu ambacho Tanzania kinatusumbua Bado ni woga kwa baadhi ya watu. Nimejalibu kusikiliza hatua kwa hatua suara hili nimeona Bado sana tunajikongoja kuelekea kule. Mtu mmoja anahojiana na bunge Zima yeye ana hoja wao Wana maneno. Sijapenda hii. Lkn acha kazi iendereeTangu hukumu ya Mpina itolewe pale Bungeni, vijiwe na maeneo yote yenye mikusanyiko wanamlilia Mpina na wamewachukia kabisa wanaojiita Wabunge.