Luhaga Mpina, kwanini umewaroga Watanzania?

Luhaga Mpina, kwanini umewaroga Watanzania?

Mpina usihame CCM pambana humo humo - nyuma yako una wabunge zaidi ya 180 wapo na wewe sema wanaogopa kura ya wazi.
 
Kiukweli mafisadi wana umoja sana, sasa leo hii yeye ndo hata kuwa kwenye vikao vya Bunge hadi November... Kwa kutufumbua macho wa Tanzania kuhusu haya majizi yanayo tumia madaraka vibaya kwa tuibia na kufanya vitu kinyume na utaratibu
 
2. Sababu ya pili wanasema kwamba, wakati wa JPM watu walilipa kodi lakini waliona matunda ya kodi zao tofauti kabisa na sasa ambapo asilimia kubwa ya kodi wanazolipa zinawatajirisha MAFISADI ambao wanalindwa na utawala.
Kwa lugha rahisi ni kwamba "serikali ina wenyewe." Ni kundi la watu lililoiteka serikali iwafanyie kazi wanayotaka wao.

Serikali ya Magufuli haikununuliwa na kundi la watu, MAFISADI kama ilivyo hii ya 'Chura Kiziwi.'
 
Mi ninachoshangaa hata wale waluomchukia JPM wanamkumbuka. Kwamba Bora yule alikua na mapungufu mengine Kwa wanasiasa ila kwenye uchumi na kuwajali wanachi angekua hai tungekua mbali.


Nikashangaa sana, tajiri uliemchukua Leo hii unamkumbuka duuhh, Hali sio poa.
Mi hata simkumbuki wallah
 
Mafisadi hawatapenya
Ngoja tu nitumie vineno vyako hapa kuweka uchafu ninaotaka kuutoa kichwani mwangu:
Inajulikana jinsi 'Chura Kiziwi' alivyojaa hadaa na fedhuli. Sasa tuseme siku moja hivi karibuni, amteue Mh. Luhaga Mpina nafasi yoyote ile kuwalaza watu akili na kupalilia ujinga na upumbavu!

Baadhi ya watu..., (siwataji) ndio mtakao kuwa mstari wa mbele kusifia uteuzi huo. Hili haliwezi kuwa geni, kwa sababu Makonda yupo pale kama kielelezo.
Lakini nitamhurumia sana Luhaga akikubali ujinga wa aina hiyo.
 
Mpina katika bunge la Tanzania ndio mtu mwenye akili timimamu ukitoa tu Mdee
 
Every point counts.
Mtihani jibu maswali 5 kati ya saba.Yaani chagua maswali matano kati ya maswali saba,wewe unajibu maswali 7,umefeili tiyari.
Wanakwambia leta evidence kuwa Waziri Bashe amedanganya bunge.
Lakini wewe unampa Speaker evidence na hapo hapo unazungumza na vyombo vya habari kabla ya shauri lako kujadiriwa na bunge!
Una almost miaka 20 hivi hujui kanuni za bunge?
Ata Mjomba Magu alikuondoa uwaziri kwa kutorudhika na utendea kazi wako,unapima samaki kwa rula aliyekaangwa.
Wabunge wa chama chako wamekushauri acha kazi ya kibunge ili uendelee kutoa swaga zako,lakini kuna waliokutuhumu kwa ujambazi ulafi,mhujumu uchumi,ufisadi au ndio sababu unaogopa kuachia ubunge?
 
Tangu hukumu ya Mpina itolewe pale Bungeni, vijiwe na maeneo yote yenye mikusanyiko wanamlilia Mpina na wamewachukia kabisa wanaojiita Wabunge.
Zaidi ya 98% wanaona Mpina hakutendewa haki.

Zaidi sana wameichukia serikali hii kwa kiwango kisichoelezeka, hasa kwa kosa la kuwakumbatia MAFISADI.

Hukumu ya Mpina imeweka mambo wazi kabisa kwamba kwa serikali hii, MAFISADI wanalindwa na kutetewa na mihimili yote ya serikali na wanaowafichua MAFISADI wanapigwa mawe na mihimili yote ya serikali.
Zaidi sana watu wanamkumbuka mtumishi wa Mungu, JPM.

Pia soma Bunge lajadili juu ya adhabu ya Mbunge Luhaga Mpina. Laamua kumfungia vikao 15
Hivyo vijiwe vyako ulivyovitembelea havina maana.

Kuna kijiwe kikubwa zaidi ya JF kwa sasa Tanzania hii?
 
Tuna paswa kuandamana kumpigania Mpina
Nadhani hiyo ni njia ndefu zaidi, maana baada ya Mpina watafanya kwa mwingine kisha mwingine na haitakuwa na mwisho.
Hapa ni kumpinga huyu chura kiziwi wa mhimili wa Executive na Betina wa mhimili wetu wananchi.
Wakiondoka hao basi nchi yaweza kurudi kwenye reli.
Ila imedhibitika kuwa nchi yetu Skirt bado hazina uwezo wa kukamata usukani, mifano ta kufeli iko mingi tuu
 
Back
Top Bottom