Luhaga Mpina, kwanini umewaroga Watanzania?

Luhaga Mpina, kwanini umewaroga Watanzania?

Tangu hukumu ya Mpina itolewe pale Bungeni, vijiwe na maeneo yote yenye mikusanyiko wanamlilia Mpina na wamewachukia kabisa wanaojiita Wabunge.
Zaidi ya 98% wanaona Mpina hakutendewa haki.

Zaidi sana wameichukia serikali hii kwa kiwango kisichoelezeka, hasa kwa kosa la kuwakumbatia MAFISADI.

Hukumu ya Mpina imeweka mambo wazi kabisa kwamba kwa serikali hii, MAFISADI wanalindwa na kutetewa na mihimili yote ya serikali na wanaowafichua MAFISADI wanapigwa mawe na mihimili yote ya serikali.
Zaidi sana watu wanamkumbuka mtumishi wa Mungu, JPM.

Pia soma Bunge lajadili juu ya adhabu ya Mbunge Luhaga Mpina. Laamua kumfungia vikao 15
Kiboko ya MAFISADI waliopo Bungeni na nje ya Bunge, anawabinya PUMBU VIZURI SANA
 
Nadhani hiyo ni njia ndefu zaidi, maana baada ya Mpina watafanya kwa mwingine kisha mwingine na haitakuwa na mwisho.
Hapa ni kumpinga huyu chura kiziwi wa mhimili wa Executive na Betina wa mhimili wetu wananchi.
Wakiondoka hao basi nchi yaweza kurudi kwenye reli.
Ila imedhibitika kuwa nchi yetu Skirt bado hazina uwezo wa kukamata usukani, mifano ta kufeli iko mingi tuu
Sure kwanza hana mvuto
 
Back
Top Bottom