Kama jamaa zako, rafiki zako, ndugu zako, na watoto wako wanafanya biashara ya kuingiza hawana uwezo wa kujenga viwanda definitely utawa favour wao kuliko wanaozalisha na kutoa ajira ndani ya nchiAmeeleza, "Wazalishaji wanapigwa Kodi lakini wanaoingiza wamesamehewa. Sasa nani atawekeza kwenye Viwanda katika Nchi yako? Tuna mfumo wa kupendelea wanaoingiza bidhaa kuliko wale wanaozalisha"
Halafu familia yake nani atawalea baada ya kumshauri kichaaKama jamaa zako, rafiki zako, ndugu zako, na watoto wako wanafanya biashara ya kuingiza hawana uwezo wa kujenga viwanda definitely utawa favour wao kuliko wanaozalisha na kutoa ajira ndani ya nchi
Lakini Mpina ulikuwa Waziri kichaa, ulishindwa nini kumshauri kichaa mwenzako?
WanajuanaHalafu familia yake nani atawalea baada ya kumshauri kichaa
Ukiwa waziri unakuwa na akili za ng'ombe, ukitemwa unakuwa na akili za nyumbuMbunge Luhaga Mpina amesema sababu mojawapo ya kuwepo changamoto katika Viwanda vya Tanzania ni mfumo mbaya wa Kodi ambayo haufanyiwi tathmini mara kwa mara
Ameeleza, "Wazalishaji wanapigwa Kodi lakini wanaoingiza wamesamehewa. Sasa nani atawekeza kwenye Viwanda katika Nchi yako? Tuna mfumo wa kupendelea wanaoingiza bidhaa kuliko wale wanaozalisha"
mchoma nyavu duMbunge Luhaga Mpina amesema sababu mojawapo ya kuwepo changamoto katika Viwanda vya Tanzania ni mfumo mbaya wa Kodi ambayo haufanyiwi tathmini mara kwa mara
Ameeleza, "Wazalishaji wanapigwa Kodi lakini wanaoingiza wamesamehewa. Sasa nani atawekeza kwenye Viwanda katika Nchi yako? Tuna mfumo wa kupendelea wanaoingiza bidhaa kuliko wale wanaozalisha"
Mataga hili hawakuona kipindi cha MekoHivi kwa nini haya mambo ya maana huwa hatuyafanyii kazi mwaka hadi mwaka
Aiseee maisha yanakwenda kwa kasi mno.....mchoma nyavu du
Aiseee maisha yanakwenda kwa kasi mno.....mchoma nyavu du
Kweli wanasiasa ni vinyonga. Mbona huyu jamaa hakuyasema haya wakati wa mwendazake?Mbunge Luhaga Mpina amesema sababu mojawapo ya kuwepo changamoto katika Viwanda vya Tanzania ni mfumo mbaya wa Kodi ambayo haufanyiwi tathmini mara kwa mara
Ameeleza, "Wazalishaji wanapigwa Kodi lakini wanaoingiza wamesamehewa. Sasa nani atawekeza kwenye Viwanda katika Nchi yako? Tuna mfumo wa kupendelea wanaoingiza bidhaa kuliko wale wanaozalisha"
Exactly !! Hili ni pamoja na viwango vya kodi vinavyotozwa; bureucracy; utitiri wa kodi/tozo n.kMbunge Luhaga Mpina amesema sababu mojawapo ya kuwepo changamoto katika Viwanda vya Tanzania ni mfumo mbaya wa Kodi ambayo haufanyiwi tathmini mara kwa mara
Ameeleza, "Wazalishaji wanapigwa Kodi lakini wanaoingiza wamesamehewa. Sasa nani atawekeza kwenye Viwanda katika Nchi yako? Tuna mfumo wa kupendelea wanaoingiza bidhaa kuliko wale wanaozalisha"
Umeona ee mkuuAiseee maisha yanakwenda kwa kasi mno.....
Mbunge Luhaga Mpina amesema sababu mojawapo ya kuwepo changamoto katika Viwanda vya Tanzania ni mfumo mbaya wa Kodi ambayo haufanyiwi tathmini mara kwa mara
Ameeleza, "Wazalishaji wanapigwa Kodi lakini wanaoingiza wamesamehewa. Sasa nani atawekeza kwenye Viwanda katika Nchi yako? Tuna mfumo wa kupendelea wanaoingiza bidhaa kuliko wale wanaozalisha"
Alipokuwa akipima samaki kwa futi hakuyajua haya? Je alivisaidia vipi viwanda vya samaki vya ndani visife? Je wavuvi wa ndani aliwasaidiaje? Hivi kwanini hawa wanasiasa wetu wakitupwa nje ndio akili zinawarudia?Mbunge Luhaga Mpina amesema sababu mojawapo ya kuwepo changamoto katika Viwanda vya Tanzania ni mfumo mbaya wa Kodi ambayo haufanyiwi tathmini mara kwa mara
Ameeleza, "Wazalishaji wanapigwa Kodi lakini wanaoingiza wamesamehewa. Sasa nani atawekeza kwenye Viwanda katika Nchi yako? Tuna mfumo wa kupendelea wanaoingiza bidhaa kuliko wale wanaozalisha"