Luhaga Mpina: Mfumo mbaya wa kodi kikwazo sekta ya viwanda

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Mbunge Luhaga Mpina amesema sababu mojawapo ya kuwepo changamoto katika Viwanda vya Tanzania ni mfumo mbaya wa Kodi ambayo haufanyiwi tathmini mara kwa mara

Ameeleza, "Wazalishaji wanapigwa Kodi lakini wanaoingiza wamesamehewa. Sasa nani atawekeza kwenye Viwanda katika Nchi yako? Tuna mfumo wa kupendelea wanaoingiza bidhaa kuliko wale wanaozalisha"
 
Kama jamaa zako, rafiki zako, ndugu zako, na watoto wako wanafanya biashara ya kuingiza hawana uwezo wa kujenga viwanda definitely utawa favour wao kuliko wanaozalisha na kutoa ajira ndani ya nchi

Lakini Mpina ulikuwa Waziri kichaa, ulishindwa nini kumshauri kichaa mwenzako?
 
Halafu familia yake nani atawalea baada ya kumshauri kichaa
 
Mbunge Luhaga Mpina amesema sababu mojawapo ya kuwepo changamoto katika Viwanda vya Tanzania ni mfumo mbaya wa Kodi ambayo haufanyiwi tathmini mara kwa mara

Ameeleza, "Wazalishaji wanapigwa Kodi lakini wanaoingiza wamesamehewa. Sasa nani atawekeza kwenye Viwanda katika Nchi yako? Tuna mfumo wa kupendelea wanaoingiza bidhaa kuliko wale wanaozalisha"
Ukiwa waziri unakuwa na akili za ng'ombe, ukitemwa unakuwa na akili za nyumbu

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Mbunge Luhaga Mpina amesema sababu mojawapo ya kuwepo changamoto katika Viwanda vya Tanzania ni mfumo mbaya wa Kodi ambayo haufanyiwi tathmini mara kwa mara

Ameeleza, "Wazalishaji wanapigwa Kodi lakini wanaoingiza wamesamehewa. Sasa nani atawekeza kwenye Viwanda katika Nchi yako? Tuna mfumo wa kupendelea wanaoingiza bidhaa kuliko wale wanaozalisha"
mchoma nyavu du
 
Hivi kwa nini haya mambo ya maana huwa hatuyafanyii kazi mwaka hadi mwaka
 
Jana niliona wenye viwanda vya kuchakata samaki wanadai hali ikiendelea hivi viwanda vitafungwa, samaki ziwa victoria wameisha....uvuvi haramu umeongezeka kwa kiwango cha kutisha!
Wanaharakati wa uvuvi endelevu tutamkumbuka sana Luhaga Mpina kwa kazi yake akiwa waziri wa Uvuvu, sangara wakubwa sana walianza kuonekana ila sasa hivi hali ni mbaya. Watanzania aliyeturoga sijuhi nani, watu wenye bidii kuanzia ngazi ya familia hadi taifa huwa wanapigwa sana zengwe!
 
Mbunge Luhaga Mpina amesema sababu mojawapo ya kuwepo changamoto katika Viwanda vya Tanzania ni mfumo mbaya wa Kodi ambayo haufanyiwi tathmini mara kwa mara

Ameeleza, "Wazalishaji wanapigwa Kodi lakini wanaoingiza wamesamehewa. Sasa nani atawekeza kwenye Viwanda katika Nchi yako? Tuna mfumo wa kupendelea wanaoingiza bidhaa kuliko wale wanaozalisha"
Kweli wanasiasa ni vinyonga. Mbona huyu jamaa hakuyasema haya wakati wa mwendazake?
 
Mbunge Luhaga Mpina amesema sababu mojawapo ya kuwepo changamoto katika Viwanda vya Tanzania ni mfumo mbaya wa Kodi ambayo haufanyiwi tathmini mara kwa mara

Ameeleza, "Wazalishaji wanapigwa Kodi lakini wanaoingiza wamesamehewa. Sasa nani atawekeza kwenye Viwanda katika Nchi yako? Tuna mfumo wa kupendelea wanaoingiza bidhaa kuliko wale wanaozalisha"
Exactly !! Hili ni pamoja na viwango vya kodi vinavyotozwa; bureucracy; utitiri wa kodi/tozo n.k
 
Asisahau sababu nyingine ni kuchoma nyavu za wavuvi
 
Mbunge Luhaga Mpina amesema sababu mojawapo ya kuwepo changamoto katika Viwanda vya Tanzania ni mfumo mbaya wa Kodi ambayo haufanyiwi tathmini mara kwa mara

Ameeleza, "Wazalishaji wanapigwa Kodi lakini wanaoingiza wamesamehewa. Sasa nani atawekeza kwenye Viwanda katika Nchi yako? Tuna mfumo wa kupendelea wanaoingiza bidhaa kuliko wale wanaozalisha"

Huyu alikuwa waziri serikali ya Tanzania ya viwanda 😂😂😂😂😂😂!

Kayagundua lini haya?
 
Mbunge Luhaga Mpina amesema sababu mojawapo ya kuwepo changamoto katika Viwanda vya Tanzania ni mfumo mbaya wa Kodi ambayo haufanyiwi tathmini mara kwa mara

Ameeleza, "Wazalishaji wanapigwa Kodi lakini wanaoingiza wamesamehewa. Sasa nani atawekeza kwenye Viwanda katika Nchi yako? Tuna mfumo wa kupendelea wanaoingiza bidhaa kuliko wale wanaozalisha"
Alipokuwa akipima samaki kwa futi hakuyajua haya? Je alivisaidia vipi viwanda vya samaki vya ndani visife? Je wavuvi wa ndani aliwasaidiaje? Hivi kwanini hawa wanasiasa wetu wakitupwa nje ndio akili zinawarudia?
 
Back
Top Bottom