Luhaga Mpina: Mfumuko wa bei umetengenezwa. Ataka uchunguzi kilichojificha Symbion na mikataba mibovu ikafutwe bungeni

Mzee Mpina, mafisi yapo kazini, alipoteuliwa huyu waziri tulijua hilo linakuja, ni chain ndefu kdg hadi wastaafu wasio na aibu.
 
Na huko Kenya, France, Marekani, UK n.k ambako kunaripotiwa mfumuko wa bei mkubwa kuwahi kushuhudiwa toka 2008, pia huo mfumuko umetengenezwa?

Vipi kuhusu wananchi Ulaya kutoruhusiwa kununua mafuta ya kula zaidi ya chupa moja nako kumetengenezwa na January Makamba na washirika wake?

Huyu mpuuzi Mpina si ndio inasemekana aliharibu maisha ya wavuvi wengi na kujimilikisha ekari nyingi kinyume na sheria hapo Morogoro? Huu uchungu na wananchi ameutoa wapi ghafla bin vuu?

Asifikiri anaweza kugombanisha wananchi na serikali halafu arukie kwenye hicho chama chao cha Umoja Party!

Huyu mjinga better he is reminded waliopo madarakani saivi wamekulia kwenye corridors of power. Wanajua mchezo wake wa mbuni kuficha kichwa chini huku kiwiliwili kikiwa nje!

 

Hatuna muda wa kujiunga na wazalendo wakatili. Mikataba ya manunuzi ya ndege iko wazi? Ujenzi wa reli, bwawa iko wazi? Hatuingi mkono wizi ndani ya nchi yetu, lakini hatuungani na wanafiki walioshiriki uovu wa Magufuli dhidi yetu.
 
Maxamalipo ilifanyiwa figisu na utawala wa jiwe
 
Mpina Amejaa madini, ujasiri, ukweli.

Kwanini hatuchunguzi Mikataba ya Symbion, IPTL, Escrow. Nani aliikubali, alisaini? Ili cost billions.
 
Issue ya Symbion tulipaswa kujiuliza nani ametuingiza kwenye hii shida hadi nchi haiwezi kujikwamua?

Aliyetuingiza huu mkenge yupo huru akipiga mluzi pengine anasubiri 10% yake tukilipa hizo fedha.

Watoto wao (wezi) ndio wamepewa nchi.
 
Hao wahindi wenyewe kwao shida tu umeme ndio wataweza kwetu
 
Issue ya Symbion tulipaswa kujiuliza nani ametuingiza kwenye hii shida hadi nchi haiwezi kujikwamua?

Aliyetuingiza huu mkenge yupo huru akipiga mluzi pengine anasubiri 10% yake tukilipa hizo fedha.
Magufuli ndio hivyo tena alisema lazima nchi tuwalinde wastaafu hata kama ni mafisadi kiasi gani.
Tunaotetea legacy yake tumsaliti kwenye hili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…