Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Riba za asilimia 35 mpaka 40 ndani ya siku 5 mpaka 6 kwa mamilioni ya watanzania masikini, ni moja ya biashara inayowalipa sana hawa watu na silaha yao kuu ni anaeshindwa kulipa anatangazwa mitandaoni.Huu urefu wa kamba huuu!!!
NajiulizaHakika nawaambieni, hii biashara haramu ya kukopesha mitandaoni kwa riba kubwa tena kwa kutumia mitandao ya simu ya humu nchini pasipo wahusika kukamatwa, ni biashara ya vigogo kama ilivyo biashara ya kuagiza sukari.
Kama unabisha, wewe tengeneza App zako na uzitumie kufanya biashara haramu uone kama hutakamtwa ndani ya siku chache tu.
Fanyieni uchunguzi jambo hili, mtakuja kuniambia.
Yaani wamejisajili kwenye mitandao ya simu(Mpesa, tigo pesa, n.k) wanafanya biashara haramu na hakuna anaekamtwa!!Ukiacha kuwa ni biashara ya riba kubwa,Lakini ni Biashara kichaka yakutakatisha pesa walizoiba washenz..i hawa.
Riba ya asilimia 35 mpaka 40 ndani ya siku 7 na serikali ipo tu inaangalia. Shida za wananchi zisiwe chanzo cha kuwanyonyq hivi.Kampuni za hovyo kabisa,hiyo ndio mikopo ya kausha damu
Wewe, mimi na wote wapenda haki tuendelee kulala.Hakika nawaambieni, hii biashara haramu ya kukopesha mitandaoni kwa riba kubwa tena kwa kutumia mitandao ya simu ya humu nchini pasipo wahusika kukamatwa, ni biashara ya vigogo kama ilivyo biashara ya kuagiza sukari.
Kama unabisha, wewe tengeneza App zako na uzitumie kufanya biashara haramu uone kama hutakamtwa ndani ya siku chache tu.
Fanyieni uchunguzi jambo hili, mtakuja kuniambia.
Bora hiyo, kuna wanaolipisha riba kama hizo ndani ya siku 5 mpaka 6 humu kwenye mitandao. Haya makampuni yamejaa utapeli na wizi kuputia shida za watu.Kuna jamaa alikopeshwa 100K kwa riba ya 32K ndani ya siku 14, ni ukichaa kwakweli.
Umeiua Tanzania Mambo Ya KambaHuu urefu wa kamba huuu!!!