Luhaga Mpina na Tundu Lissu, msiishie kwenye sukari tu, bali chunguzeni na biashara ya kukopesha mitandaoni

Riba za asilimia 35 mpaka 40 ndani ya siku 5 mpaka 6 kwa mamilioni ya watanzania masikini, ni moja ya biashara inayowalipa sana hawa watu na silaha yao kuu ni anaeshindwa kulipa anatangazwa mitandaoni.

Haya mambo ni possible tu kwenye nchi ambazo serikali ni lege lege ama corrupt.
Tena Mpaka acces ya simu wanakuwa nayo
 
Hakika nawaambieni, hii biashara haramu ya kukopesha mitandaoni kwa riba kubwa tena kwa kutumia mitandao ya simu ya humu nchini pasipo wahusika kukamatwa, ni biashara ya vigogo kama ilivyo biashara ya kuagiza sukari.

Kama unabisha, wewe tengeneza App zako na uzitumie kufanya biashara haramu uone kama hutakamtwa ndani ya siku chache tu.

Fanyieni uchunguzi jambo hili, mtakuja kuniambia.

Matapeli yapo kwenye chama siyo rahisi kuyakamata
 
Hakika nawaambieni, hii biashara haramu ya kukopesha mitandaoni kwa riba kubwa tena kwa kutumia mitandao ya simu ya humu nchini pasipo wahusika kukamatwa, ni biashara ya vigogo kama ilivyo biashara ya kuagiza sukari.

Kama unabisha, wewe tengeneza App zako na uzitumie kufanya biashara haramu uone kama hutakamtwa ndani ya siku chache tu.

Fanyieni uchunguzi jambo hili, mtakuja kuniambia.

Mikononi mwa Samia Tanzania inakufa kabisa,mimi lawama zangu ni kwa Nyerere tu,kwa sababu alitumia nguvu kubwa kuhakikisha CCM inaendelea kutawala akiwaita wapinzani ni mbwa
 
Back
Top Bottom