Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Ndugu Mpina.
Unaupiga mwingi sana.
Kinachonifurahisha, unahoji mambo ya msingi sana, na hivyo ndivyo inavyotakiwa.
Kilichonifanya niandike uzi huu ni baada ya wewe kugusia ishu ya katiba mpya.
Nimefurahi kuona kuwa, umegundua kuwa mzizi wa fitina wa mambo yetu kuwa hovyohivyo ni kwa sababu ya katiba mbovu inayotoa impunity kwa watu wachache kufanya wanalotaka kwa sababu wanajua somewhere ktk chain ya ya mamlaka wanalindwa na mtu anayelindwa na katiba kutoshitakiwa na asiyelazimika kufuata ushauri wa mtu yeyote.
Ninajua wazi kuwa na wewe ulikuwa timu ya utawala uliopita na ulizingua sana ktk kuchoma nyavu za wavuvi masikini lakini hata hivyo hata wao walikuwa pia sehemu ya utawala uliopita. Angalau wewe sasa hivi unaongelea mambo makubwa na muhimu ya nchi lakini wao wapo katika kutoa kauli za dharau kuwa twende Burundi, Wengine wanatetea makampuni ya data na simu badala ya kutetea wananchi.
Endelea kushikilia hapohapo kwenye suala la katiba mpya, maana huo ndo mwarobaini wa ujingaujinga mwingi unaoendelea nchi hii