Luhaga Mpina, shikilia hapohapo

Huyu jamaa ana Saka uwaziri tu hakuna jingine, akilipata Hilo atakua kma Bashiru na Polepole. Sijui kwanini waTanzania hatujifunzi tu juu ya Hawa wanasiasa wa CCM.
Jamaa kwani zitto anataka kuwa nani kwenye siasa ? Yaani tuikatae hoja yake njema kisa ndoto zake usizozikubali. Na frankly speaking kila mtu anapambani tumbo lake regardless chama gani.
 
Ukiona mwanaccm anapingana na chama chake hadharani we juwa tu anawajambisha wampe cheo. Uyo unaemsifia ashapata fununu baraza la mawaziri linafumuliwa siku sio nyingi anachokifanya sasa hivi ni zile zile mbinu za Humphrey Polepole
 
Ahh kabisa

Ova
 
Jamaa kwani zitto anataka kuwa nani kwenye siasa ? Yaani tuikatae hoja yake njema kisa ndoto zake usizozikubali. Na frankly speaking kila mtu anapambani tumbo lake regardless chama gani.
Hujanielewa!! Mpina alikua mbunge machachari sana 2010-15 enzi hizo akiwa kamati ya Biashara/ mitaji na uwekezaji? ila baadae akapewa uwaziri na JPM akapoa... Akaacha kupigania maslahi ya wananchi bungeni yeye kazi yake ikawa ni kupongeza tu.

Cha kushangaza kakosa uwaziri ndio amegundua eti ndege zikikamatwa zitangazwe!! Kwamba Acacia watulipe matrillion yetu!! Kwamba malipo nje ya bajeti ni ufisadi ilihali mambo hayo pia yalifanyika kipindi Cha JPM ila alikaa kimya kulinda cheo.

Huyu ni mnafiki tu siku akipewa uwaziri atasema katiba mpya Haina ulazima na atasifia mikopo ya Samia.

Jifunzeni kwa Polepole wa awamu ya JK na awamu ya JPM!! alikana katiba mpya kabisa kwamba ni makaratasi ya kabatini tu
 
Unaogopa nini bwashee? Mbona unamuogopa Mpina kiasi hicho? Jadili hoja yake tu, mengine mwachie yeye
 
Hivi bado mna mda na nguvu ya kukisikiza hili bunge na dictator JPM??

Ndg yangu tafuta ela kiyashabikia MaCCM ni zaidi ya ujinga
 
Sisi tunataka katiba mpya, hayo mambo ya watatawala mpaka lini yamo mikononi mwa Allah. Yeye ndo hutoa manlaka kwa watu na huyachukua kwa namna atakayo yeye.

Si kila upinzani utokao ndani ya CCM umeasisiwa na CCM wenyewe. G55 haikuasiisiwa na CCM yenyewe.
 
CCM kinachowaponza ni teuzi za upendeleo
 
Unaogopa nini bwashee? Mbona unamuogopa Mpina kiasi hicho? Jadili hoja yake tu, mengine mwachie yeye
Nyie endeleeni kuhadaika, nimeacha zamani sana kuwaamini wabunge wa CCM nitarudi hapa kuwakumbusha akishakua naibu waziri. Bashe aliwahi sema TISS ivunjwe isukwe upya kisa kuteka wapinzani ila alipopewa uwaziri ndio kwanza akasema wapinzani wanyooshwe!! So ni wanafiki sana Hawa jamaa hakuna uzalendo zaidi ya maigizo kupata umaarufu wa uwaziri. Wakipata wanakuja Tena kubomoa hizo hoja.
 
Mpina ni muigizaji tu...hana lolote!

Wakati alipopewa uwaziri wa mifugo na uvuvi wakati wa serkali ya awami ya Tano alitesa watanzania sana. Alifirisi wavuvi na wafugaji wengi mno kwa ukatili mkubwa!

Mpina ni kiongozi wa hovyo kwelikweli!
 
Sawa, lakini sasa hivi anaongea mambo yenye tija!
 
G55 ilianzishwa ndani ya CCM na lengo lake halikuwa kuvunja Muungano wala Serikali tatu bali kumdhibiti Dr. Salmeen Amour dhidi ya agenda yake ya kuipeleka Nchi Katika moja ya jumuia za kimataifa ambazo hazikuwa zinakubalika na Mhimili (OIC) na walipofanikiwa hilo kina Njelu kasaka wakaendelea na mambo mengine

hata zilipoanza vurugu za Richmond wachache sana ndio walielewa motive yake

napenda tu kukufahamisha kuwa Kamati kuu za Vyama vyote vikubwa asilimia zaid ya 70 wamejaa 'Mtu kazi'
 
Kwamba HOJA ya KATIBA mpya ataitosa?

Nachagua kupingana nawe ktk Hilo,

CCM Si wamoja.

CCM wangekuwa wamoja wasingemtosa unec Mpina.

Tusubiri
 
Kwamba HOJA ya KATIBA mpya ataitosa?

Nachagua kupingana nawe ktk Hilo,

CCM Si wamoja.

CCM wangekuwa wamoja wasingemtosa unec Mpina.

Tusubiri
Mimi ni mwana CCM kwa mwaka wa 46 nikiwa na akili timamu…nakifahamu vyema sana

tuendelee kusubiri na tuombe uhai na uzima wa Afya na Mifukoni tuweze kuendelea kuwemo humu

uliwahi kudhani kuna siku Prof.Palamagamba, Humphrey Polepole na Dr Bashiru watakejeli hoja za umuhimu wa Katiba mpya?

usile kiapo wala usiweke udhamini kwny misimamo ya Mwanasiasa hasa hasa wa Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…