figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Mbona imekuuma sana ndugu mbogamboga?Mpina baanaa yaani anaangaika wenye chama hawana hata habari nae . Anakuwa kama content creator πππ
nonsense πKada mashuhuri wa chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina ametoa pendekezo la kutafutwa kwa msuluhishi huru wa kimataifa na ndani ya nchi ili kulinusuru taifa kutokana na madhila yaliyotokea wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Tanzania wa Oktoba 2025.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumapili, Agosti 09, 2026, Mpina ameonya kuwa taifa haliwezi kuendelea kuchezewa na migogoro ya ndani inayoharibu sifa ya Tanzania duniani. Ameitaka jamii kushinikiza misingi mitatu ya ukweli, haki, na uwajibikaji kama njia pekee ya kuliponya taifa kufuatia mivutano ya kisiasa iliyopo sasa.
Katika hatua inayolenga kuleta suluhu ya kudumu, Mpina amependekeza mchanganyiko wa watu mashuhuri kutoka nje na ndani ya nchi ambao wako upande wa kati na wanaoweza kusimamia haki bila kujali itikadi za vyama.
Kwa upande wa kimataifa, amewataja viongozi kama Thabo Mbeki (Afrika Kusini), Abiy Ahmed (Ethiopia), Lazarus Chakwera (Malawi), na Olusegun Obasanjo (Nigeria), huku akizitaka jumuia za AU, SADC, na EAC kushiriki. Kwa upande wa ndani ya nchi, Mpina amependekeza viongozi na wanazuoni wanaoheshimika wakiwamo Jaji Joseph Sinde Warioba, Profesa Anna Tibaijuka, Mzee Juma Duni Haji, Profesa Issa Shivji, Dkt. Helen Kijo-Bisimba na Mzee Jenerali Ulimwengu.
Anatamani sana aende CDM ila basi tuMpina baanaa yaani anaangaika wenye chama hawana hata habari nae . Anakuwa kama content creator πππ
Hao wa ndani wote wamo kwenye dairy ya maelekezo ya kutoka juu ya Mafwele...ni Shughuli pevu kushirikishwa na CCM!!!Kada mashuhuri wa chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina ametoa pendekezo la kutafutwa kwa msuluhishi huru wa kimataifa na ndani ya nchi ili kulinusuru taifa kutokana na madhila yaliyotokea wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Tanzania wa Oktoba 2025.
View attachment 3647268
Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumapili, Agosti 09, 2026, Mpina ameonya kuwa taifa haliwezi kuendelea kuchezewa na migogoro ya ndani inayoharibu sifa ya Tanzania duniani. Ameitaka jamii kushinikiza misingi mitatu ya ukweli, haki, na uwajibikaji kama njia pekee ya kuliponya taifa kufuatia mivutano ya kisiasa iliyopo sasa.
Katika hatua inayolenga kuleta suluhu ya kudumu, Mpina amependekeza mchanganyiko wa watu mashuhuri kutoka nje na ndani ya nchi ambao wako upande wa kati na wanaoweza kusimamia haki bila kujali itikadi za vyama.
Kwa upande wa kimataifa, amewataja viongozi kama Thabo Mbeki (Afrika Kusini), Abiy Ahmed (Ethiopia), Lazarus Chakwera (Malawi), na Olusegun Obasanjo (Nigeria), huku akizitaka jumuia za AU, SADC, na EAC kushiriki. Kwa upande wa ndani ya nchi, Mpina amependekeza viongozi na wanazuoni wanaoheshimika wakiwamo Jaji Joseph Sinde Warioba, Profesa Anna Tibaijuka, Mzee Juma Duni Haji, Profesa Issa Shivji, Dkt. Helen Kijo-Bisimba na Mzee Jenerali Ulimwengu.
Abiye Ahamed huyu aliyetoka kuua mamia ya raia kule Tigray?Kada mashuhuri wa chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina ametoa pendekezo la kutafutwa kwa msuluhishi huru wa kimataifa na ndani ya nchi ili kulinusuru taifa kutokana na madhila yaliyotokea wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Tanzania wa Oktoba 2025.
View attachment 3647268
Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumapili, Agosti 09, 2026, Mpina ameonya kuwa taifa haliwezi kuendelea kuchezewa na migogoro ya ndani inayoharibu sifa ya Tanzania duniani. Ameitaka jamii kushinikiza misingi mitatu ya ukweli, haki, na uwajibikaji kama njia pekee ya kuliponya taifa kufuatia mivutano ya kisiasa iliyopo sasa.
Katika hatua inayolenga kuleta suluhu ya kudumu, Mpina amependekeza mchanganyiko wa watu mashuhuri kutoka nje na ndani ya nchi ambao wako upande wa kati na wanaoweza kusimamia haki bila kujali itikadi za vyama.
Kwa upande wa kimataifa, amewataja viongozi kama Thabo Mbeki (Afrika Kusini), Abiy Ahmed (Ethiopia), Lazarus Chakwera (Malawi), na Olusegun Obasanjo (Nigeria), huku akizitaka jumuia za AU, SADC, na EAC kushiriki. Kwa upande wa ndani ya nchi, Mpina amependekeza viongozi na wanazuoni wanaoheshimika wakiwamo Jaji Joseph Sinde Warioba, Profesa Anna Tibaijuka, Mzee Juma Duni Haji, Profesa Issa Shivji, Dkt. Helen Kijo-Bisimba na Mzee Jenerali Ulimwengu.
TAARIFA KWA UMMA YA NDG. LUHAGA JOELSON MPINA KUHUSU UCHAMBUZI WA RIPOTI YA JUMUIYA YA MADOLA KWENYE KIKAO CHA 73 CHA DHARURA CHA MAWAZIRI WA MAMBO YA NJE NA UONGOZI WA KIDEMOKRASIA (CMAG) KILICHOFANYIKA TAREHE 10 JULAI 2026 KUHUSU HALI YA KISIASA NCHINI TANZANIA BAADA YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2025LEO TAREHE 9 AGOSTI 2026
Kada mashuhuri wa chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina ametoa pendekezo la kutafutwa kwa msuluhishi huru wa kimataifa na ndani ya nchi ili kulinusuru taifa kutokana na madhila yaliyotokea wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Tanzania wa Oktoba 2025.
View attachment 3647268
Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumapili, Agosti 09, 2026, Mpina ameonya kuwa taifa haliwezi kuendelea kuchezewa na migogoro ya ndani inayoharibu sifa ya Tanzania duniani. Ameitaka jamii kushinikiza misingi mitatu ya ukweli, haki, na uwajibikaji kama njia pekee ya kuliponya taifa kufuatia mivutano ya kisiasa iliyopo sasa.
Katika hatua inayolenga kuleta suluhu ya kudumu, Mpina amependekeza mchanganyiko wa watu mashuhuri kutoka nje na ndani ya nchi ambao wako upande wa kati na wanaoweza kusimamia haki bila kujali itikadi za vyama.
Kwa upande wa kimataifa, amewataja viongozi kama Thabo Mbeki (Afrika Kusini), Abiy Ahmed (Ethiopia), Lazarus Chakwera (Malawi), na Olusegun Obasanjo (Nigeria), huku akizitaka jumuia za AU, SADC, na EAC kushiriki. Kwa upande wa ndani ya nchi, Mpina amependekeza viongozi na wanazuoni wanaoheshimika wakiwamo Jaji Joseph Sinde Warioba, Profesa Anna Tibaijuka, Mzee Juma Duni Haji, Profesa Issa Shivji, Dkt. Helen Kijo-Bisimba na Mzee Jenerali Ulimwengu.
Bonyeza Link hapo juu kusoma Taarifa kwa kina