Luhaga Mpina ulichoma nyavu za wavuvi, huna unalali wa kuwataja mafisadi

Rege

Senior Member
Joined
Jul 9, 2022
Posts
117
Reaction score
153
LUHAGA MPINA ulichoma nyavu za wavuvi na kuwatia umasikini mkubwa huna uhalali wa kuwataja mawaziri kuhusika na ufisadi vinginevyo tuamini mna ugomvi binafsi.

Watu wa Kanda ya zIWA hana hamu na Mpina kwa maovu aliyoyafanya hana uhalali wa kuwashambulia binafsi Makamba, Mwigulu na Mbarawa ni mawaziri waadilifu.
 
Watu wa Kanda ya zIWA hana hamu na Mpina kwa maovu aliyoyafanya hana uhalali wa kuwashambulia binafsi Makamba, Mwigulu na Mbarawa ni mawaziri waadilifu
Umetumwa na Mwigulu?,unajidanganya,kwa taarifa yako kazi ya Luhaga Mpina kama mbunge imetukuka, na itang'oka na waliokutuma
 
Kama alichoma hizo nyavu za Wavuvi ndiyo haruhusiwi kupiga Vita Ufisadi?

Waziri hana kinga ya kutoshtakiwa kwa Makosa aliyofanya akiwa Waziri.

Kama kuna ushahidi dhidi yake apelekwe Mahakamani.

Ila suala la Ufisadi ni Vita ya Kila mzalendo.
 
LUHAGA MPINA ulichoma nyavu za wavuvi na kuwatia umasikini mkubwa huna uhalali wa kuwataja mawaziri kuhusika na ufisadi vinginevyo tuamini mna ugomvi binafsi.

Watu wa Kanda ya zIWA hana hamu na Mpina kwa maovu aliyoyafanya hana uhalali wa kuwashambulia binafsi Makamba, Mwigulu na Mbarawa ni mawaziri waadilifu
Mbwa nyie wasukuma,

Mlitaka awachekee na Uvuvi haramu??
 
LUHAGA MPINA ulichoma nyavu za wavuvi na kuwatia umasikini mkubwa huna uhalali wa kuwataja mawaziri kuhusika na ufisadi vinginevyo tuamini mna ugomvi binafsi.

Watu wa Kanda ya zIWA hana hamu na Mpina kwa maovu aliyoyafanya hana uhalali wa kuwashambulia binafsi Makamba, Mwigulu na Mbarawa ni mawaziri waadilifu
kama wanataka kupoteza kizazi cha samaki ziwa victoria kwanini asichome? ukimsikiliza Luhanga, uwasikilize na viongozo wowote wale nchini hapa, nani ana akili. jamaa ni jeshi la mtu mmoja. hapo ndipo utajua watanzania wana akili, huwezi kuwadanganya wampende mtu kama kaka tozo, au february, dhidi ya Luhanga anayetoa hoja zenye mashika na maccm yanashindwa kujibu.
 
Mpina ni shujaa wa watanzania masikini.Alisimamia eneo lake vema kulinda uwepo wa samaki.Kanda ya ziwa tunamkubali labda nyie mafisadi mnaotaka kugawana rasilimali za nchi
 
LUHAGA MPINA ulichoma nyavu za wavuvi na kuwatia umasikini mkubwa huna uhalali wa kuwataja mawaziri kuhusika na ufisadi vinginevyo tuamini mna ugomvi binafsi.

Watu wa Kanda ya zIWA hana hamu na Mpina kwa maovu aliyoyafanya hana uhalali wa kuwashambulia binafsi Makamba, Mwigulu na Mbarawa ni mawaziri waadilifu
alichoma kwa mujibu wa sheria au? wacha umama humu
 
LUHAGA MPINA ulichoma nyavu za wavuvi na kuwatia umasikini mkubwa huna uhalali wa kuwataja mawaziri kuhusika na ufisadi vinginevyo tuamini mna ugomvi binafsi.

Watu wa Kanda ya zIWA hana hamu na Mpina kwa maovu aliyoyafanya hana uhalali wa kuwashambulia binafsi Makamba, Mwigulu na Mbarawa ni mawaziri waadilifu

Nyavu zilikuwa zinavua mpaka samaki waliototolewa masaa machache yaliyopita

Nyavu zilikuwa zinakwangua mpaka makazi ya samaki

Kama zingeachwa then hao wavuvi ndio wangeadhirika zaidi
 
LUHAGA MPINA ulichoma nyavu za wavuvi na kuwatia umasikini mkubwa huna uhalali wa kuwataja mawaziri kuhusika na ufisadi vinginevyo tuamini mna ugomvi binafsi.

Watu wa Kanda ya zIWA hana hamu na Mpina kwa maovu aliyoyafanya hana uhalali wa kuwashambulia binafsi Makamba, Mwigulu na Mbarawa ni mawaziri waadilifu.
Kwani kuchoma nyavu ni "ufisadi"
 
Back
Top Bottom