GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Maswali:LUHAGA MPINA ulichoma nyavu za wavuvi na kuwatia umasikini mkubwa huna uhalali wa kuwataja mawaziri kuhusika na ufisadi vinginevyo tuamini mna ugomvi binafsi.
Watu wa Kanda ya zIWA hana hamu na Mpina kwa maovu aliyoyafanya hana uhalali wa kuwashambulia binafsi Makamba, Mwigulu na Mbarawa ni mawaziri waadilifu.
1. Mpina alichoma nyavu za wavuvi kwa mujibu wa Sheria au kinyume cha Sheria?
2. Ufisadi unaodaiwa kufanyika umefanywa kwa mujibu wa Sheria au kinyume cha Sheria?