Luhaga Mpina ulichoma nyavu za wavuvi, huna unalali wa kuwataja mafisadi

Luhaga Mpina ulichoma nyavu za wavuvi, huna unalali wa kuwataja mafisadi

LUHAGA MPINA ulichoma nyavu za wavuvi na kuwatia umasikini mkubwa huna uhalali wa kuwataja mawaziri kuhusika na ufisadi vinginevyo tuamini mna ugomvi binafsi.

Watu wa Kanda ya zIWA hana hamu na Mpina kwa maovu aliyoyafanya hana uhalali wa kuwashambulia binafsi Makamba, Mwigulu na Mbarawa ni mawaziri waadilifu.
Wewe hujui hata unachoongea nenda saizi ziwa Victoria ukanagaalie uvuvi haramu ulivyosambaa!
 
LUHAGA MPINA ulichoma nyavu za wavuvi na kuwatia umasikini mkubwa huna uhalali wa kuwataja mawaziri kuhusika na ufisadi vinginevyo tuamini mna ugomvi binafsi.

Watu wa Kanda ya zIWA hana hamu na Mpina kwa maovu aliyoyafanya hana uhalali wa kuwashambulia binafsi Makamba, Mwigulu na Mbarawa ni mawaziri waadilifu.
Jibuni hoja zake mikataba ya DP world na LNG ina uhusiano gani ya haya
 
Nyavu zinazokamata mpaka samaki wadogo ilikuwa lazima zichomwe, ili kuhakikisha mazalia ya samaki hayaharibiwi.

Kamwambie Mwigulu hivyo
Nilitaka niandike kama wewe , nashukuru!

Huyu mleta mada uwezo wake mdogo sana Ku reason vitu na nyakati.
 
Tumia lugha ya staha halafu uwe na uelewa kanda ya ziwa wavuvi kutoka usukumani ni wachache...Ila aliwaumiza Sana wavuvi hekima haikutumika zaidi ya mihemuko...
Hata hao wavuvi na mafisadi kwanini wafanye uvuvi Haram na je ulitaka hekima gani itumike dhidi ya nyie maharamia?
 
Sijui akienda kanda ya ziwa anajisikia je baada ya kuwachomea wavuvi nyavu zao

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Watu wa kanda ya ziwa ni watu ambao hawataki mbamba,ni watu walionyooka sana,wanapenda mtu aliyesimama kwenye kweli,tena ukweli wa kweli kama alivyo luhaga mpina.ukitaka ujue watu wa kanda ya ziwa,angalia jinsi walivyo lianzisha jeshi la ulinzi wa jadi maarifu kama sungusungu.yaani ziwa hawataki ujinga.
 
Tumia lugha ya staha halafu uwe na uelewa kanda ya ziwa wavuvi kutoka usukumani ni wachache...Ila aliwaumiza Sana wavuvi hekima haikutumika zaidi ya mihemuko...
Hujui lolote wewe,mpina alikuwa anapambana na wavuvi haramu,walikuwepo watu wanavua kwa kutumia nyavu zisizo ruhusiwa,wengine walikuwa wanavua kwa baruti,sumu,na magokolo.wewe kwa ujinga wako ulitaka afanyaje?
 
Pumbavu,nenda kaombe msaada Baba yako akuokoe maishani..u know nothing 👆
 
Kama alichoma hizo nyavu za Wavuvi ndiyo haruhusiwi kupiga Vita Ufisadi?

Waziri hana kinga ya kutoshtakiwa kwa Makosa aliyofanya akiwa Waziri.

Kama kuna ushahidi dhidi yake apelekwe Mahakamani.

Ila suala la Ufisadi ni Vita ya Kila mzalendo.
Mimi nipo hapa Ilenza pembeni ya ziwa Victoria,Mpina ni shujaa na wakati wake samaki waliongezeka kwani nyavu zilizochomwa zilikuwa hazifiki viwango vinavyotakiwa,nchi hii Bado wenye akili wapo.
 
Wanamkumbuka maana hizo nyavu zimevua mpaka watoto wa samaki...samaki wanatafutwa kwa tochi....ukiona mkerewe anamkaribisha mgeni kwa ugali wa muhogo na Ngere ujue hali ni tete...
 
LUHAGA MPINA ulichoma nyavu za wavuvi na kuwatia umasikini mkubwa huna uhalali wa kuwataja mawaziri kuhusika na ufisadi vinginevyo tuamini mna ugomvi binafsi.

Watu wa Kanda ya zIWA hana hamu na Mpina kwa maovu aliyoyafanya hana uhalali wa kuwashambulia binafsi Makamba, Mwigulu na Mbarawa ni mawaziri waadilifu.
Ana nongwa sana huyu ngosha. Mbarawa na Mwigulu wanapiga kazi ya maana sana awamu hii, waswahili tumejawa na roho mbaya huwa hatuoni mema ya mtu zaidi ya mabaya yake, poor african hearts.
 
Back
Top Bottom