Umetumwa na Mwigulu?,unajidanganya,kwa taarifa yako kazi ya Luhaga Mpina kama mbunge imetukuka, na itang'oka na waliokutumaLUHAGA MPINA ulichoma nyavu za wavuvi na kuwatia umasikini mkubwa huna uhalali wa kuwataja mawaziri kuhusika na ufisadi vinginevyo tuamini mna ugomvi binafsi.
Watu wa Kanda ya zIWA hana hamu na Mpina kwa maovu aliyoyafanya hana uhalali wa kuwashambulia binafsi Makamba, Mwigulu na Mbarawa ni mawaziri waadilifu
Mbwa nyie wasukuma,LUHAGA MPINA ulichoma nyavu za wavuvi na kuwatia umasikini mkubwa huna uhalali wa kuwataja mawaziri kuhusika na ufisadi vinginevyo tuamini mna ugomvi binafsi.
Watu wa Kanda ya zIWA hana hamu na Mpina kwa maovu aliyoyafanya hana uhalali wa kuwashambulia binafsi Makamba, Mwigulu na Mbarawa ni mawaziri waadilifu
Tumia lugha ya staha halafu uwe na uelewa kanda ya ziwa wavuvi kutoka usukumani ni wachache...Ila aliwaumiza Sana wavuvi hekima haikutumika zaidi ya mihemuko...Mbwa nyie wasukuma,
Mlitaka awachekee na Uvuvi haramu??
Imhotep hoja dhaifu ni ipiHoja dhaifu mno.
kama wanataka kupoteza kizazi cha samaki ziwa victoria kwanini asichome? ukimsikiliza Luhanga, uwasikilize na viongozo wowote wale nchini hapa, nani ana akili. jamaa ni jeshi la mtu mmoja. hapo ndipo utajua watanzania wana akili, huwezi kuwadanganya wampende mtu kama kaka tozo, au february, dhidi ya Luhanga anayetoa hoja zenye mashika na maccm yanashindwa kujibu.LUHAGA MPINA ulichoma nyavu za wavuvi na kuwatia umasikini mkubwa huna uhalali wa kuwataja mawaziri kuhusika na ufisadi vinginevyo tuamini mna ugomvi binafsi.
Watu wa Kanda ya zIWA hana hamu na Mpina kwa maovu aliyoyafanya hana uhalali wa kuwashambulia binafsi Makamba, Mwigulu na Mbarawa ni mawaziri waadilifu
Kwamba kwasababu Mpina alichoma nyavu haramu ndio apuuzwe kwa kuibua Ufisadi wa SGR na Upigaji mwingine.Imhotep hoja dhaifu ni ipi
alichoma kwa mujibu wa sheria au? wacha umama humuLUHAGA MPINA ulichoma nyavu za wavuvi na kuwatia umasikini mkubwa huna uhalali wa kuwataja mawaziri kuhusika na ufisadi vinginevyo tuamini mna ugomvi binafsi.
Watu wa Kanda ya zIWA hana hamu na Mpina kwa maovu aliyoyafanya hana uhalali wa kuwashambulia binafsi Makamba, Mwigulu na Mbarawa ni mawaziri waadilifu
LUHAGA MPINA ulichoma nyavu za wavuvi na kuwatia umasikini mkubwa huna uhalali wa kuwataja mawaziri kuhusika na ufisadi vinginevyo tuamini mna ugomvi binafsi.
Watu wa Kanda ya zIWA hana hamu na Mpina kwa maovu aliyoyafanya hana uhalali wa kuwashambulia binafsi Makamba, Mwigulu na Mbarawa ni mawaziri waadilifu
Kwani kuchoma nyavu ni "ufisadi"LUHAGA MPINA ulichoma nyavu za wavuvi na kuwatia umasikini mkubwa huna uhalali wa kuwataja mawaziri kuhusika na ufisadi vinginevyo tuamini mna ugomvi binafsi.
Watu wa Kanda ya zIWA hana hamu na Mpina kwa maovu aliyoyafanya hana uhalali wa kuwashambulia binafsi Makamba, Mwigulu na Mbarawa ni mawaziri waadilifu.