GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Maswali:LUHAGA MPINA ulichoma nyavu za wavuvi na kuwatia umasikini mkubwa huna uhalali wa kuwataja mawaziri kuhusika na ufisadi vinginevyo tuamini mna ugomvi binafsi.
Watu wa Kanda ya zIWA hana hamu na Mpina kwa maovu aliyoyafanya hana uhalali wa kuwashambulia binafsi Makamba, Mwigulu na Mbarawa ni mawaziri waadilifu.
Sasa hivi samaki wameadimika kwa sababu ya uvuvi wa holela kwa kutumia nyavu zisizotakiwa !#CHAWAWAMWIGULU!!
Hivi sasa samaki wamekuwa adimu kwa sababu wa uvuvi holela !!Maswali:
1. Mpina alichoma nyavu za wavuvi kwa mujibu wa Sheria au kinyume cha Sheria?
2. Ufisadi unaodaiwa kufanyika umefanywa kwa mujibu wa Sheria au kinyume cha Sheria?
kuachwa ni shughuli pevu....LUHAGA MPINA ulichoma nyavu za wavuvi na kuwatia umasikini mkubwa huna uhalali wa kuwataja mawaziri kuhusika na ufisadi vinginevyo tuamini mna ugomvi binafsi.
Watu wa Kanda ya zIWA hana hamu na Mpina kwa maovu aliyoyafanya hana uhalali wa kuwashambulia binafsi Makamba, Mwigulu na Mbarawa ni mawaziri waadilifu.
Hapana, anao uhalali wa kuyataja majizi na matapeli hayo uliyoyaorodhesha hapo. Hayo yote yakamatwe yanyongweLUHAGA MPINA ulichoma nyavu za wavuvi na kuwatia umasikini mkubwa huna uhalali wa kuwataja mawaziri kuhusika na ufisadi vinginevyo tuamini mna ugomvi binafsi.
Watu wa Kanda ya zIWA hana hamu na Mpina kwa maovu aliyoyafanya hana uhalali wa kuwashambulia binafsi Makamba, Mwigulu na Mbarawa ni mawaziri waadilifu.
Kanda ya ziwa siyo ya wasukuma pekee kuna makabila mengine ambayo lugha ni tofauti na kisukumaMbwa nyie wasukuma,
Mlitaka awachekee na Uvuvi haramu??
Kwani wavuvi siyo kati ya watanzania masikini. Angekwenda huko ambako wavuvi wananunua nyavu akazuia kuliko kuwachomea wavuvi na kuwafilisi mitaji yao kwa kuwachomea nyavu zao.Mpina ni shujaa wa watanzania masikini.Alisimamia eneo lake vema kulinda uwepo wa samaki.Kanda ya ziwa tunamkubali labda nyie mafisadi mnaotaka kugawana rasilimali za nchi
Tupo pamoja sipendezwi na mambo ya hovyo uanayoendelea.Kwamba kwasababu Mpina alichoma nyavu haramu ndio apuuzwe kwa kuibua Ufisadi wa SGR na Upigaji mwingine.
Mimi nitasimama na Mtu yeyote yule MZALENDO.
Siyo dhaifu tu Bali ni za kijinga kabisa na hao ndio wako mbele,Kwa nini dola zisipotee.Mwigulu bhana!!
Kwa hiyo umeona ujisafishe huku kwa hizo hoja dhaifu......
Ukiwa mkweli ni lazima utachukiwa na wasioupenda ukweli !Mpina piga pini tu mkuu, wabaya wako ndio hawahawa mafisadi ndio wanakusakama!
Mwigulu amekutuma?LUHAGA MPINA ulichoma nyavu za wavuvi na kuwatia umasikini mkubwa huna uhalali wa kuwataja mawaziri kuhusika na ufisadi vinginevyo tuamini mna ugomvi binafsi.
Watu wa Kanda ya zIWA hana hamu na Mpina kwa maovu aliyoyafanya hana uhalali wa kuwashambulia binafsi Makamba, Mwigulu na Mbarawa ni mawaziri waadilifu.
Je hizo nyavu alizochoma zilikuwa zinaruhusiwa?? Uache uzuzu kwa kuzungumza fact na uweke mbali chukiLUHAGA MPINA ulichoma nyavu za wavuvi na kuwatia umasikini mkubwa huna uhalali wa kuwataja mawaziri kuhusika na ufisadi vinginevyo tuamini mna ugomvi binafsi.
Watu wa Kanda ya zIWA hana hamu na Mpina kwa maovu aliyoyafanya hana uhalali wa kuwashambulia binafsi Makamba, Mwigulu na Mbarawa ni mawaziri waadilifu.
Yaani naona hawaelewi sababu za kuchoma wanataka waelemishwe sanaJe hizo nyavu alizochoma zilikuwa zinaruhusiwa?? Uache uzuzu kwa kuzungumza fact na uweke mbali chuki
Ni mara ngapi nyavu zinachomwa kutokana na kuwa ndogo kiasi cha kuvua watoto wa samaki na hatimae kutokomeza mazalia ya samaki??
Kuongea bila fact ni kuropoka
Watu mnajitoa ufahamu sana kwa kulipwa vijicenti kidogo. Kuna uhusiano gani kati ya kuchoma nyavu na kutaja mafisadi? Nyavu kachoma Jana?, Ulikuwa wapi kulisema hili kipindi akichoma hizo nyavu?LUHAGA MPINA ulichoma nyavu za wavuvi na kuwatia umasikini mkubwa huna uhalali wa kuwataja mawaziri kuhusika na ufisadi vinginevyo tuamini mna ugomvi binafsi.
Watu wa Kanda ya zIWA hana hamu na Mpina kwa maovu aliyoyafanya hana uhalali wa kuwashambulia binafsi Makamba, Mwigulu na Mbarawa ni mawaziri waadilifu.
kwahiyo hiyo ndo sababu? huna akiliLUHAGA MPINA ulichoma nyavu za wavuvi na kuwatia umasikini mkubwa huna uhalali wa kuwataja mawaziri kuhusika na ufisadi vinginevyo tuamini mna ugomvi binafsi.
Watu wa Kanda ya zIWA hana hamu na Mpina kwa maovu aliyoyafanya hana uhalali wa kuwashambulia binafsi Makamba, Mwigulu na Mbarawa ni mawaziri waadilifu.
Mpina awataje tu kama wanaiba pesa za umma. Kukosea wakati fulani hakumnyimi nafasi ya kukemea maovu kwasababu hakuna binadamu aliyekamilikaLUHAGA MPINA ulichoma nyavu za wavuvi na kuwatia umasikini mkubwa huna uhalali wa kuwataja mawaziri kuhusika na ufisadi vinginevyo tuamini mna ugomvi binafsi.
Watu wa Kanda ya zIWA hana hamu na Mpina kwa maovu aliyoyafanya hana uhalali wa kuwashambulia binafsi Makamba, Mwigulu na Mbarawa ni mawaziri waadilifu.