Wewe hujui hata unachoongea nenda saizi ziwa Victoria ukanagaalie uvuvi haramu ulivyosambaa!LUHAGA MPINA ulichoma nyavu za wavuvi na kuwatia umasikini mkubwa huna uhalali wa kuwataja mawaziri kuhusika na ufisadi vinginevyo tuamini mna ugomvi binafsi.
Watu wa Kanda ya zIWA hana hamu na Mpina kwa maovu aliyoyafanya hana uhalali wa kuwashambulia binafsi Makamba, Mwigulu na Mbarawa ni mawaziri waadilifu.
Jibuni hoja zake mikataba ya DP world na LNG ina uhusiano gani ya hayaLUHAGA MPINA ulichoma nyavu za wavuvi na kuwatia umasikini mkubwa huna uhalali wa kuwataja mawaziri kuhusika na ufisadi vinginevyo tuamini mna ugomvi binafsi.
Watu wa Kanda ya zIWA hana hamu na Mpina kwa maovu aliyoyafanya hana uhalali wa kuwashambulia binafsi Makamba, Mwigulu na Mbarawa ni mawaziri waadilifu.
Nilitaka niandike kama wewe , nashukuru!Nyavu zinazokamata mpaka samaki wadogo ilikuwa lazima zichomwe, ili kuhakikisha mazalia ya samaki hayaharibiwi.
Kamwambie Mwigulu hivyo
Hata hao wavuvi na mafisadi kwanini wafanye uvuvi Haram na je ulitaka hekima gani itumike dhidi ya nyie maharamia?Tumia lugha ya staha halafu uwe na uelewa kanda ya ziwa wavuvi kutoka usukumani ni wachache...Ila aliwaumiza Sana wavuvi hekima haikutumika zaidi ya mihemuko...
Watu wa kanda ya ziwa ni watu ambao hawataki mbamba,ni watu walionyooka sana,wanapenda mtu aliyesimama kwenye kweli,tena ukweli wa kweli kama alivyo luhaga mpina.ukitaka ujue watu wa kanda ya ziwa,angalia jinsi walivyo lianzisha jeshi la ulinzi wa jadi maarifu kama sungusungu.yaani ziwa hawataki ujinga.Sijui akienda kanda ya ziwa anajisikia je baada ya kuwachomea wavuvi nyavu zao
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Mimi ni msukumu,lkn hakuna kitu kizuri alifanya mpina kama kupambana na wavuvi halamu.Mbwa nyie wasukuma,
Mlitaka awachekee na Uvuvi haramu??
Hujui lolote wewe,mpina alikuwa anapambana na wavuvi haramu,walikuwepo watu wanavua kwa kutumia nyavu zisizo ruhusiwa,wengine walikuwa wanavua kwa baruti,sumu,na magokolo.wewe kwa ujinga wako ulitaka afanyaje?Tumia lugha ya staha halafu uwe na uelewa kanda ya ziwa wavuvi kutoka usukumani ni wachache...Ila aliwaumiza Sana wavuvi hekima haikutumika zaidi ya mihemuko...
Shikamooo,Nyavu zilikuwa zinavua mpaka samaki waliototolewa masaa machache yaliyopita
Nyavu zilikuwa zinakwangua mpaka makazi ya samaki
Kama zingeachwa then hao wavuvi ndio wangeadhirika zaidi
Pumbavu,nenda kaombe msaada Baba yako akuokoe maishani..u know nothing 👆Hujui lolote wewe,mpina alikuwa anapambana na wavuvi haramu,walikuwepo watu wanavua kwa kutumia nyavu zisizo ruhusiwa,wengine walikuwa wanavua kwa baruti,sumu,na magokolo.wewe kwa ujinga wako ulitaka afanyaje?
Mkuu kwani hujuwi kama hata uvuvi una Sheria zake?Sijui akienda kanda ya ziwa anajisikia je baada ya kuwachomea wavuvi nyavu zao
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Bro uko sawa,na Mimi najiunga na nyieKwamba kwasababu Mpina alichoma nyavu haramu ndio apuuzwe kwa kuibua Ufisadi wa SGR na Upigaji mwingine.
Mimi nitasimama na Mtu yeyote yule MZALENDO.
Mimi nipo hapa Ilenza pembeni ya ziwa Victoria,Mpina ni shujaa na wakati wake samaki waliongezeka kwani nyavu zilizochomwa zilikuwa hazifiki viwango vinavyotakiwa,nchi hii Bado wenye akili wapo.Kama alichoma hizo nyavu za Wavuvi ndiyo haruhusiwi kupiga Vita Ufisadi?
Waziri hana kinga ya kutoshtakiwa kwa Makosa aliyofanya akiwa Waziri.
Kama kuna ushahidi dhidi yake apelekwe Mahakamani.
Ila suala la Ufisadi ni Vita ya Kila mzalendo.
Ana nongwa sana huyu ngosha. Mbarawa na Mwigulu wanapiga kazi ya maana sana awamu hii, waswahili tumejawa na roho mbaya huwa hatuoni mema ya mtu zaidi ya mabaya yake, poor african hearts.LUHAGA MPINA ulichoma nyavu za wavuvi na kuwatia umasikini mkubwa huna uhalali wa kuwataja mawaziri kuhusika na ufisadi vinginevyo tuamini mna ugomvi binafsi.
Watu wa Kanda ya zIWA hana hamu na Mpina kwa maovu aliyoyafanya hana uhalali wa kuwashambulia binafsi Makamba, Mwigulu na Mbarawa ni mawaziri waadilifu.
Bora wewe umesema kweliMimi nipo hapa Ilenza pembeni ya ziwa Victoria,Mpina ni shujaa na wakati wake samaki waliongezeka kwani nyavu zilizochomwa zilikuwa hazifiki viwango vinavyotakiwa,nchi hii Bado wenye akili wapo.
Kama ndivyo, Mpina alikuwa akifanya kazi yenye tija!Hivi sasa samaki wamekuwa adimu kwa sababu wa uvuvi holela !!