GE2025 Luhaga Mpina: Vyama vya upinzani si wahaini na wala si wahalifu katika nchi yao

GE2025 Luhaga Mpina: Vyama vya upinzani si wahaini na wala si wahalifu katika nchi yao

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
"Tume na mamlaka zote za umma zifanye kazi za umma, zifanye kazi kwa mujibu wa sheria, kama katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inavyowataka wafanye.

Vyama vya upinzani si wahaini na wala si wahalifu katika nchi yao, hivyo hakuna sababu yoyote ile ya kutumia mamlaka ya umma kuviadhibu vyama vya siasa"
Luhaga Mpina
 
Back
Top Bottom