Luhaga Mpina: Waziri Bashe na Mwigulu walitengeneza uhaba wa sukari nchini, zilikuwa njama za kuiba mapato ya nchi

Katika Mkutano wa wake na Waandishi wa Habari leo 14/6/2024, wakati akitoa uthibitisho alioambiwa aupeleke na Spika wa Bunge ndani ya siku 10, Luhaga Mpina amesema;

"Hapakuwa na usimamizi wa bei nchini kwani hata pale sukari ilipopatikana kwa bei ndogo nje ya nchi bado iliuzwa kwa kubwa hapa nchini ambapo mfuko wa Kilo 50 uliuzwa Tsh. 145,000. Rejea risiti Na. ya TRA ya EFD Na. 32 ya tarehe 22 Februari 2024 na risiti yenye verification code Na.28630946606 ya tarehe 23 Februari 2024 zilizotolewa na Kampuni ya Mohammed Enterprises (T) Limited katika ofisi za Dar es Salaam.

"Mawaziri hawa walitengeneza uhaba wa sukari, kutoa vibali vya kuagiza sukari zaidi ya mahitaji, kuruhusu sukari inayoingizwa kwa msamaha wa kodi kuuzwa kwa bei kubwa kinyume cha sheria.

"Pia msamaha huo wa kodi unapelekea Serikali kupoteza mapato ya Tsh. Bilioni 580 na kuwawezesha wafanyabiashara kupata faida ya ziada zaidi ya Tsh. Bilioni 465. Kwa maoni yangu hizi ni njama zilizosukwa na baadhi ya Viongozi na watendaji wa Serikali kuiba mapato ya nchi."

Mda si mrefu ataitwa chamani kuonywa, uzuri jamaa katembea na reference. Ila kwa jinsi siasa zetu zilizo hovyo na za kutishana,baada ya kudiscuss hoja wataanza kumdiscuss Mpina.
 
Wewe hujui hata kinachoendelea saizi kwenye Uvuvi! samaki hamna Mama yenu na Ulega waziri wa uvuvi ameachia uvuvi haramu utamaraki!
Kubali tu kuwa wewe lofa huna hela ya kununua samaki, uwezo wako ni matembele na maharage tu, utajuwaje kama kuna samaki kwenye bahari na mito na maziwa?
 
Katika Mkutano wa wake na Waandishi wa Habari leo 14/6/2024, wakati akitoa uthibitisho alioambiwa aupeleke na Spika wa Bunge ndani ya siku 10, Luhaga Mpina amesema;

"Hapakuwa na usimamizi wa bei nchini kwani hata pale sukari ilipopatikana kwa bei ndogo nje ya nchi bado iliuzwa kwa kubwa hapa nchini ambapo mfuko wa Kilo 50 uliuzwa Tsh. 145,000. Rejea risiti Na. ya TRA ya EFD Na. 32 ya tarehe 22 Februari 2024 na risiti yenye verification code Na.28630946606 ya tarehe 23 Februari 2024 zilizotolewa na Kampuni ya Mohammed Enterprises (T) Limited katika ofisi za Dar es Salaam.

"Mawaziri hawa walitengeneza uhaba wa sukari, kutoa vibali vya kuagiza sukari zaidi ya mahitaji, kuruhusu sukari inayoingizwa kwa msamaha wa kodi kuuzwa kwa bei kubwa kinyume cha sheria.

"Pia msamaha huo wa kodi unapelekea Serikali kupoteza mapato ya Tsh. Bilioni 580 na kuwawezesha wafanyabiashara kupata faida ya ziada zaidi ya Tsh. Bilioni 465. Kwa maoni yangu hizi ni njama zilizosukwa na baadhi ya Viongozi na watendaji wa Serikali kuiba mapato ya nchi."

Luhaga Mpina hana hoja yeyote zaidi ya WIVU dhidi ya walio kwenye madaraka. Sisi kama wananchi tulichotaka ni Bei ya Sukari iteremke.

Hapa Mpwapwa tulifika wakati tukanunua sukari kilo MOJA kwa Tsh 10,000 sasa hivi imeteremka hadi Tsh 3,000 kwa kilo.

Haya ndiyo matokeao ambayo wananchi wanataka NO MATTER Serikali imetumia njia gani kuleta sukari nchini.

Luhaga Mpina anajijua kuwa hawezi kurudi Bungeni mwaka 2025 kutokana na kufeli kufikia malengo ya wapiga kura wa jimbo lake.

Wana Kisesa hawatampa kura mtu aliyekuwa anawachomea nyavu na kupima urefu wa samaki. Luhaga Mpina afe tu ili akaungane na kichaa mwenzie Magufuli huko kuzimu
 
Mimi nipo kisesa, nitampa kura popote atakapohamia, wewe unasema wanakisesa hatutampa kura unaongea kama nani?
 
Mpina unazungumza sana,nadhani toka ushindwe kusimamia uvuvi hadi Mjomba Magu akakutema,umepoteza muelekeo. Huwezi kuaminika kutokana ulivyoua uvuvi.Sasa imebakia na mock debate.
Wewe Bado unakula ugali wa shikamoo funga mdomo wakati wanaume wanaongea.
 
Huyu jamaa utadhani yeye Ni Malaika.
Kumbe Ni kuwa backbencher tu
 
Mpina kwa sasa mwili wake ni ccm ila moyo wake ni Chadema!

Mavazi tu yanaashiria hivo!

Kikawada, maisha yetu ni mafupi sana, Mungu akikupa Nafasi ya kuongoza watu, tendea haki nafasi hiyo na uoneshe kwa dhati ya moyo Kwamba, Mungu hakukosea kukupa nafasi hiyo na ikiwezekana, itendee haki na kuwatendea haki watu wote, ilu iwe sehemu ya kumshawishi Mungu kukupa nafasi ya juu zaidi

Goo goo goo Mpina
Shida yetu ni hapa tu mkuu. Yan mtu akitoa wazo zuri lakujenga au baya la kuharibu lazima ahusishwe na kambi Fulani ya kisiasa. Imefika mahali hata watumishi wa Mungu wakitoa maoni Yao vile nchi inavyokwenda lazima nao wachaguliwe kambi ya kisiasa kulingana na walivyotoa maoni Yao. Nafikiri ifike mahali tuamini kuwa raia yeyote anaweza kutoa mtazamo wake mzuri au mbaya lakini mtu huyo hafungamani na kundi lolote la kisiasa.
 
Mpina unazungumza sana,nadhani toka ushindwe kusimamia uvuvi hadi Mjomba Magu akakutema,umepoteza muelekeo. Huwezi kuaminika kutokana ulivyoua uvuvi.Sasa imebakia na mock debate.
Ukitaka kujua bongo ina safari ndefu, kuna kina wewe maelfu kadhaa pesa zinapigwa bado mnaona angalau hawa wachache wanaotusanua wanazingua. Sio mchezo 😃
 
Bashe anachafuliwa kwa makusudi kisa nyota yake inang'aa, ni kati ya mawaziri wenye vision ya kulipeleka taifa mbele. hayeni.
 
Mpina unazungumza sana,nadhani toka ushindwe kusimamia uvuvi hadi Mjomba Magu akakutema,umepoteza muelekeo. Huwezi kuaminika kutokana ulivyoua uvuvi.Sasa imebakia na mock debate.
Je alichoongea ni uongo?

Kama ni uongo basi achukuliwe hatua…. Kama ni ukweli then Iko shida
 
Mpina unazungumza sana,nadhani toka ushindwe kusimamia uvuvi hadi Mjomba Magu akakutema,umepoteza muelekeo. Huwezi kuaminika kutokana ulivyoua uvuvi.Sasa imebakia na mock debate.
Kwahiyo sisi tukuunge mkono kwa wewe kumshambulia yeye binafsi badala yakumkosoa risiti au bei alizotoa.
Tabia ya kumshambulia mtu badala ya kuishambulia hoja yake, ni udhaifu unaothibitisha haujui kinachojadiliwa.
 
Back
Top Bottom