Hio Sura kwa DP ni wewe? Basi kama ni wewe kutakua na ukweli kwenye ile kauliAcheni kumchafuwa huyu waziri Ni kweli simkubali I'll kwa tuhuma hzo hpn ninkumchafua tu
Sio "kelele" wizi uite wizi usimung'unye maneno.Hii ni zaidi ya ile kelele ya trilioni 1.5
ChinaIna maana pesa yote hiyo ameiweka mfukoni mwake sidhan
Zinatakiwa evendence za kutosha kuthibitisha.Sio kupayuka tu Kama mweu.Waziri wa zamani wa uvuvi Ruhaga mpina ametoa tuhuma kwa waziri wa fedha mwigulu Nchemba kuwa ameiibia serkali pesa katika miradi wa SGR zaidi ya trilioni1.7 .
Hii ni zaidi ya ile kelele ya trilioni 1.5 ya utawala wa hayati Magufuli na ni nusu ya wizi wote alioutaja CAG katika report yake ya jumla ya trilioni 3.5 kwa wizara yote.
Kumbe yale mabasi na matimu ya mpira ni pesa za walipa kodi
USSR View attachment 2595078
Misambwanda mipya kila leo so lazima uwe na trillionKweli pesa haijawahi kutosha....Trilion!!!